SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI.
MTUNZI;RAJA SAIDY.
WHATSAPP;0756920739.
SMS;0621047841.
SEHEMU YA PILI ( 2 )
ILIPOISHIA.........
Nilizungumza na Mzee yule huku nikiwa naanza kusimaa kwa ajili ya kuondoka.
"Sawa Kijana wangu,ukifanikisha kila kitu, nitakupa kila utakacho,pia ukishaleta vitu hivyo...