Tarehe 29/08 nilihamisha kias flan cha pesa kutoka airtel money kwenda a/c ya NMB,hela kwenye airtel money wakazikata mda huo huo,ila kwenye a/c ya NMB haikufika,nikaona ni weekend nikaacha ilivyo,leo tarehe 31/08,nimecheki salio katika a/c zaidi ya mara 10,hakuna kilichoingia,nikauliza bank...