Recent content by Masterkey

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada ya wanyama

    Twiga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Saveya na Karma malizeni tu ligi yenu wazee. Tufanye nyote washindi,mabishano yenu yaishe washikaji zangu[emoji119][emoji119][emoji119]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu kama mzazi wako yupo juu Serikalini, Waziri au Katibu Mkuu watu wanasema umepata kazi kwa ajili ya connection

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mambo yako wazi kabisa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

    Kama unaishi DSM ntafute nikupe mche ukapande. Ahsante.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyoukumbuka Ubunge wa Profesa Mwandosya, Busokelo

    Umenkumbusha Busokelo, mwaka 2015 ndo nilipata bahati ya kuitembelea kwa mara ya kwanza. Niliizunguka kata zake zote. Kipindi hicho kampeni za uchaguzi zinatengwa maeneo ya vilabu vya pombe maana watu wanapatikana huko zaidi. Ngoma za asili ilikuwa ndio burudani yake. Maji ya mito yanatirieika...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    wakulungwa, nina Redmi note 10, naomba kufahamishwa kama ninaweza kupunguza idadi ya Albums kwenye gallery. Namaanisha kwamba, kwenye gallery ukitumiwa picha kwa Whats app inaenda kwenye Album ya Whats app na wakati huohuo picha hiyohiyo unaikuta kwenye Album ya All photos, sasa hakuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umekubali kutukuzwa hivi? Yanayofanyika shuleni siku yako ya kuzaliwa siyo sawa

    😂😂😂😂 nchi ngumu sana hii.
Back
Top Bottom