Recent content by masterdo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Hahahaaaaa matisho aisee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu hana adabu kabisa! Amuita Waziri wetu " Profesa aliyerukwa na akili, mwendawazimu", ndani ya BLW na kuachwa tu?

    Ile kauli sio swala LA muungano, hivyo halipaswi kujadiliwa Dodoma. Ila najiuliza maswala ambayo siyo ya muungano kwa upande wa Bara yanazungumzwa lini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu wameshiba wamevimbiwa pia hawana mawazo, wapotezeee kbsa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulamba na kunyonya sehemu za siri za Mwanamke kuna madhara makubwa kiafya

    Eeeeh ngoja kwanza, hebu njoo inbox
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa ya kuhamisha Walimu kutoka Sekondari kwenda kufundisha Shule za msingi

    Trump anajua hizi nchi zisizo jali maslahi ya wengi namna hii zinaitwaje, huwa naamini Mr. Trump yupo sahihi kabisa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa ya kuhamisha Walimu kutoka Sekondari kwenda kufundisha Shule za msingi

    Anko nakuunga mkono, hakuna anayejali maana watoto wa wanaoitwa wanyonge wanaendelea kunyongwa. Ili waendelee kubwa mbu mbu mbuuuuu.kundi kubwa haina mwenyewe wenye uwezo hakuna mtoto wao huko, wwlimu wataenda kuweka vijiwe. Huyo msingi utakuwa wa nyasi , elimu kwishneee, [emoji23] [emoji23]...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

    Hizo ni private issue, ingekuwa inahusu umoja angewashirikisha wenzie kabla ya kumjibu mdada
Back
Top Bottom