Recent content by Masterchuma

  1. M

    Natafuta mchumba mwanamke Mkristo

    Umri umeandikwa hapo labda kama unahitaji mtu akusomee kwa sauti, Kijana, dingi au mzee ni wewe tu utakavyoamua kuniita Mtoto ndio sina,
  2. M

    Natafuta mchumba mwanamke Mkristo

    Habari, Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi, am very focused 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiriwa 5. Ninaishi Kilimanjaro Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe mkristo na usiwe na mtoto 2. Umri lazima uwe na 18 hadi 26 3. Msafi wa mwili na roho 4. Uwe na elimu...
  3. M

    Nahitaji chumba cha kupanga Moshi

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/= Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa. Natanguliza shukrani.
  4. M

    Mchakato wa ajira za ualimu mwaka 2025 si wa haki, umekaa upendeleo

    Walimu Hizi interview za utumishi ambapo wanaita watu wengi almoat 25,000 pengine wanahitajika walimu 1000 tu, sio kwa walimu peke yenu, isipokuwa kwa upande wa walimu wanaonekana wapo wengi sana wasio na ajira hivyo basi idadi inakuwa kubwa, lakini hilo wala lisimuogopeshe mwalimu yeyote...
  5. M

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Mimi ni mwanaume na Umri: 30 yrs, Elimu: Degree Holder Urefu: mrefu wa 180cm Weight: 78kg, BMI 24kg,/m2 Rangi: mweusi Ninapoishi: Dar/Dodoma Kabila: Msukuma Dini: Mkristo (RC) Kazi: nimejiajiri Hali ya Ndoa: Sijawahi kuoa (single) Watoto: Sina mtoto Ninaemuhitaji (mwanamke) mwenye Umri: (20-27...
  6. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN upo Dodoma sehem gan nije unisimulie kipande kilichobaki, isije kuwa kila baada ya masaa mawili nachungulia huku, kumbe tupo mitaa jirani tu
Back
Top Bottom