Asubuhi ya leo Tanzania imezipokea taarifa za kifo cha aliyekuwa Mumewa Zamani wa IRENE UWOYA na Kocha msaidizi wa timu ya RAYON SPORTS ya Rwanda, HAMAD NDIKUMANA KATAUTI ambae amefariki ghafla.
Mwandishi wa habari za Michezo Wa FOOTBALL SITE ameripoti kwamba Gakwaya Olivier ambae ni Afisa...
Simba imetangaza kumpa ruhusa kiungo wake Said Hamis Ndemla kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweden
Taarifa rasmi kutoka Simba imethibitisha kiungo wao mshambuliaji Said Hamisi ‘Ndemla’ anaondoka kesho kwenda Sweden kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa...

Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Singida United na mabingwa wa kihistoria klabu ya Yanga umemalizika katika Uwanja wa Namfua kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana.
Katika mchezo huo uligubikwa na utata dakika ya 54 ya kipindi cha pili baada ya mchezaji wa Singida...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.