Hayo ndo matatizo ya Baraza la Mtihani ku-reseat mtihani badala ya wanafunzi wenyewe; unatarajia nini endapo matokeo ya awali mwanafunzi aliye maliza form four alipata division zero, mara baada ya NECTA kuya-chakachua matokeo hayo kwa maagizo ya serikali ya muishiwa dhaifu, mwanafunzi huyo huyo...
Wanabodi heshima kwenu wakuu !!!!
Kauli ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi inadhihirisha pasipo shaka, uchaguzi mdogo wa madiwani jijini Arusha hautafanyika hadi 2015; Technique hii inatumika ili kumwezesha Meya wa ki-china aendelee kuwepo madarakani kwa maslahi ya mafisadi.
Ikumbukwe Arusha...
Wana bodi, heshima kwenu wakuu,
Kiongozi akikosa hekima na busara anakuwa mpumbavu,
Kiongozi akikosa utu na ubinadamu anakuwa mkatili,
Kiongozi akikosa kutambua ya kuwa yupo kwa ajili ya watu anakuwa na dharau.
Kiongozi huyo ni nani ?
"Mizengwe iliyo pinda".
Mkuu mkisah : Hayo ndo matatizo ya akili ndogo kutaka kutawala akili kubwa.
CHADEMA tupo makini kuliko CCM na serikali yenu " Hayo unayo yawaza leo, CHADEMA tulisha yawaza miaka mitano iliyo pita"
Hilo liko wazi hata magamba wanakiri japo kimo moyo " CHADEMA ni zaidi ya chama cha siasa, CHADEMA ni moto wa kuotea mbali" bali wameamua kujitoa ufahamu kwa mda.
DPP anatekeleza maagizo ya Kamati kuu ya CCM ambayo imeshindwa kusoma alama za nyakati.
TULIANZA NA MUNGU, TUNAENDELEA NA MUNGU na TUTAMALIZA NA MUNGU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.