Maandamano ya kumpokea Lwakatare Bukoba ni kesho kutwa!

wazee wa movie watakuwa washategesha camera zao tayari kwa ajiri kuchukua ushahidi wa mbinguni,cdm msitegemee ulinzi wa policcm pekee,jipangeni kwani CDM inatakiwa kufa ndani ya mwaka huu<maneno ya wasira na nape plus mh mandevu> ila kwa nguvu za mwenyezi Mungu anaekamilisha kazi ya mikono yake within no time,daima wishez zenu hazitafanikiwa kwani cdm haifi leo wala kesho na hata ntondogoooooo
 
Hii tabia ya wachafu kwenda kupokelewa makwao kishujaa haijakoma? Ilikuwa mafisadi na sasa magaidi na walisha watu sumu
 
Cdhan km kuna haja ya hayo maandamano kwan anayepiga mabomu kashasema hatopiga tena??Km ningekuwa huko nisingethubutu kutia pua kwan hata jana sikuwa na aman pale national stadium kwa jinsi tulivyofurika sijui ingekuaje km lolote lingetokea.WAKAT SERIKALI"CCM"NA CDM HAKUNA TUNAYEJUA NANI ANAUSIKA NA MATUKIO HAYA YA UVUNJIFU WA AMANI,MIKUSANYIKO YA WATU SIO MIZURI SN.BÀADA Y TUKIO LA ARUSHA BOMU LA PALE KANISAN TULIPEWA AHAD KUWA HAITAJIRUDIA TENA HATA MIEZ MITATU HAIJAISHA BOMU LINGINE ARUSHA AU WAPIGA MABOMU WAPO ARUSHA PEKEE??Au serikali imeshayajua haya mpaka kamanda kuupa kibal maandamano hayo.Km ni kweli bas cdm na ccm wanajua walifanyalo.
 
Itabidi gaidi ambrose aliyelipua bomu kanisa la arusha naye akitoka akapokelewe kishujaa jimboni kwake
 
Lwakatare ni mtoto wa nyumbani bukoba, kagasheki ana nguvu ya uchumi lakini siku zote ameendelea kuwa mgeni bukoba..tunaojua siasa za bukoba tunafahamu kabisa kwamba laiti kagasheki asingekuwa na nguvu kiuchumi au walau wangekuwa kiwango cha kifedha sawa na lwakatare asingejaribu hata kugombea pale jimboni, hata yeye khamis hilo analijua na ndo maana mpaka leo huwa anawaita wakazi wa bkb wanafiki kwamba wanamchekea kwa sababu ya pesa zake lakini hawampendi
 
Siasa za BK tuulize siye! Hivi unajua katika kesi ya kupinga matokeo ya Kagasheki Lwakatare alishindwa kesi na mahakama kuamuru amlipe Kagasheki milioni 200. Na unajua Kagasheki alikutana na Lwakatare wakakubaliana kwa siri kwamba aachane nazo(kwa makubaliano ya siri).Hivi unajua Lwakatare na Kagasheki lao moja?
Pole sana
Kama ndivyo hofu yako ni nini mkuu, mbona umeanza kutoa mapovu kabla ya siku ya Tukio !!!!!!?? SI USUBIRI UONE KAMA HAYO UNAYOZUNGUMZA NDIVYO YALIVYO? hofu ya nini mtani wangu? We kaa umeridhika na unavyojua na sisi tunasubiri tukio.POLE MTANI.

 
Siasa za BK tuulize siye! Hivi unajua katika kesi ya kupinga matokeo ya Kagasheki Lwakatare alishindwa kesi na mahakama kuamuru amlipe Kagasheki milioni 200. Na unajua Kagasheki alikutana na Lwakatare wakakubaliana kwa siri kwamba aachane nazo(kwa makubaliano ya siri).Hivi unajua Lwakatare na Kagasheki lao moja?
Pole sana

Ukipiga hesabu kwa mlengo huo daima utapata majibu yasiyo sahihi. Suala la Lwakatare linakwenda mbele na juu zaidi kupita siasa na itikadi. Ni suala la Uongo dhidi ya Ukweli, Haki dhidi ya Dhuluma, Uhuru wa kweli dhidi ya Uhuru wa mateka, na hadhi/heshima yetu dhidi ya Siasa chafu.

No data no right to speak, Una takwimu za lini zinazodhihirisha kuwa watu wengi wanamuunga mkono kagasheki au we ni gamba? Tuulize sisi tulioko Bukoba kukupe takwimu za nani zaidi kati ya kagasheki na rwakatale.

Safi sana,ponti za msingi,hapo tupo wote,mimi ninachopoinga kwa nguvu zangu zote na ndiyo ukweli ni kwamba kwa siasa za Bukoba Lwakatare hauzi tena! kwa suala unalosema hata mimi nipo huko,CCM imetufikisha pabaya sana lakini kwa kumtumia NDUMILA KUWILI kama lwakatare ni kujidanganya tu

Time will tell!
Huwa najiuliza sana ni kwa nini Dr Slaa aliongoza kwa kura Bukoba mjini na kumgalagaza Kikwete, lakini Lwakatare akapigwa mweleka na Kagasheki.

Tusiwe na tabia ya kubeza tu ni lazima kuwe na Analysis za kutosha, wale wale waliomtaka Dr Slaa awe Rais wao ni hao hao waliokataa Lwakatare asiwe mbunge wao. hapa panahitaji tafakuri kubwa.
 
Back
Top Bottom