Recent content by master noble

  1. master noble

    JamiiForums Tanzania Msaada: Account ya HESLB haifunguki

    Leo ni siku ya tatu hivi, ninajaribu kuingia kwenye profile yangu ili nijue nimepata asimilia ngapi ya mkopo lakini cha ajabu link ya HESLB haifunguki. Jamani naomba mnisaidie hii ishu maana sijajua nitalipiwa ada kiasi gani
  2. master noble

    JamiiForums Tanzania Ahsante mungu nimepata mkopo wa HESLB batch2

    unaenda mazimbu au main campus?
  3. master noble

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma SUA na Wanaosoma SUA

    Yah inawezekana ila utaratibu bado cjaujua so km vp nenda chuoni utapewa utaratibu wa kuhama, ila km una mkopo basi watasitisha kwa siku 90 wkt taarifa zako zikihamishiwa kweny chuo unachohamia
  4. master noble

    JamiiForums Tanzania Wenye Division III wamepata chuo?

    kuna chaliii yangu alipata div iv ya points 15,amechaguliwa kampala mwaka huu
  5. master noble

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

    huyu jamaa anaudhi sana coz anachambua kimahaba
  6. master noble

    JamiiForums Tanzania Hoja tata: Vilio, Ubabaishaji na Uongo wa Bodi ya mikopo(HESLB)

    aaah cheche , hili ni trailer tu ebu tusibiri picha yenyewe inakuja hv karibuni,watu mtasaga meno mpk basi, dah hawa HESLB hawana huruma kbxaa
  7. master noble

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atletico Madrid vs Barcelona

    Leo mida ya saa 3:45 usiku kutakuwa na mtanange kati ya timu tajwa hapo juu, Je ni nani ataibuka mshindi siku ya leo?
  8. master noble

    JamiiForums Tanzania Mkopo ndio utakao-determine hatima ya ndoto zangu mwaka huu

    mungu yupo pmj nawe ,usijali utapata tu
  9. master noble

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special thread : Messi Magics

  10. master noble

    JamiiForums Tanzania Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

    dah kumbe ulikuwa mzembe kiasi hicho,kwahyo umerudi tena chuo au ndio uko mtaani?
Back
Top Bottom