Recent content by Master Arcade

  1. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mambo yako hivi sasa, nina hofu sana na awamu ya mwisho ya Samia kama rais wa Tanzania, ni wazi tutaona mabaya zaidi ya haya

    Si kweli...mzee nyerere alikuwa akitii mamlaka katika kudai haki kwa mkoloni ...hakuwa mpuuzi anaendeshwa na hisia, kushindana bila ya akili dhidi ya mamlaka uliyomzidi nguvu wakati huo
  2. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mambo yako hivi sasa, nina hofu sana na awamu ya mwisho ya Samia kama rais wa Tanzania, ni wazi tutaona mabaya zaidi ya haya

    waumini walitakiwa kutii kauli ya mamlaka kwanza( licha ya maamuzi ya mamlaka kuwa sahihi au si sahihi). kushindana na mamlaka ni kujitafutia matatizo tu then uanze kulalamika...unadhani maamuzi ya mamlaka yatamfavour kila mtu wakati wote...
  3. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mambo yako hivi sasa, nina hofu sana na awamu ya mwisho ya Samia kama rais wa Tanzania, ni wazi tutaona mabaya zaidi ya haya

    kwani si kuna maelekezo yapo juu ya huwendeshwaji wa ibada pale...kwanini si ufuatwe??
  4. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mambo yako hivi sasa, nina hofu sana na awamu ya mwisho ya Samia kama rais wa Tanzania, ni wazi tutaona mabaya zaidi ya haya

    Duuh sasa kila mtu akipata janga ni samia tu..! au story ipoje?
  5. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mambo yako hivi sasa, nina hofu sana na awamu ya mwisho ya Samia kama rais wa Tanzania, ni wazi tutaona mabaya zaidi ya haya

    Duuh Tanzania ipi hiyo ..iliyovurugika ?? ni hii ninayoishi mimi..?
  6. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yohana na Mathayo yupi iko sahihi katika hili licha ya kuwa wote walishushiwa ufunuo wa "roho mtakatifu"

    Surat Taha ..aya 65 - 73. 65. Wakasema: Ewe Musa! Je! Utatupa wewe, au tutakuwa sisi wa kwanza kutupa? 66. Akasema: Bali tupeni nyinyi! Tahamaki kamba zao na fimbo zao zikaonekana mbele yake, kwa uchawi wao, kuwa zinapiga mbio. 67. Basi Musa akaingia khofu nafsi yake. 68. Tukasema: Usikhofu...
  7. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa ana uwezo mdogo sana, ila jina limekuzwa na chawa wake

    Bado hujamjua JK Nyerere...tafadhali rudi mfuatilie vizuri..huwenda ukamjua japo kwa uchache
  8. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

    kwani mwenge ni wa CCM?
  9. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    kwa kipato hicho na majukumu hayo, kujenga kunahitaji mkakati madhubuti..🙌
  10. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Niwaulize CCM na mashabiki wake; Wabunge wanawajibika kwa Rais? Kama ndivyo, wanawezaje kuisimamia na kuikosoa serikali inayoongozwa na Rais?

    kwani wabunge si wanatoa tu maoni yao kulingana na mitazamo yao...shida nini? wapo wanaomtetea Rais na wapo wamesimama na hoja za Gwajima ambaye pia ni mbunge. Tatizo nini ndugu?
  11. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

    Yeye alipenda astaafie pale...yuko tayar kushusha mshahara na hata kukaa bench lakn waaaap
  12. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania Christiano ronaldo amechokwa huko uarabuni anaelekea kunyimwa mkataba

    mbona modric kakomaa hapo madrid ...lakini kanyimwa mkataba?
  13. Master Arcade

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Alizingatia kuweka fursa sawa kwa wote....wasomi na wasio wa wasomi wote ni wetu.
Back
Top Bottom