Kweli mmetupa elimu ya kutosha kwenye huu utengenezaji wa sabuni,labda kutaka kufahamu zaidi naomba mnielimishe kuhusu malighafi zinazotumika na kiasi gani nitumie ili niweze kutengeneza sabuni ya mche na unga kwa matumizi ya nyumbani.utengenezaji wa ngu ni mdogo sana (Home made soap)
Utengenezaji wa sabuni. Mimi naomba mnipatie ufahamu hasa wa malidhafi zitumikazo kutengeneza sabuni za miche na unga, ili niweze kuanzisha utengenezaji wa sabuni (Homemade soap )
SALAMU KWA WOTE WANA JAMIIFORUM.
Nafurahi sana kuwepo kwenye mtandao huu wa kuweza kupeana habari za kuelimisha,kuhurahisha na za kimaendeleo kwa wanajamii wote hususani watanzania wote.Naomba mnipokee kwani nami napenda sana mawasiliano yenye kuleta mwamko katika kukabiliana na changamoto za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.