Recent content by massoudamour

  1. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya diploma MUHAS yanatoka lini?

    Hapo umenena mi mwenyewe nasubiri, nimeulizia kama yamebandikwa, hayajabandikwa na kwenye web yao hakuna, nasioni alama yoyote
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    seiph R sufiani , amepata Mbeya HGK, hongera
  3. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    kama jina hilo la tumsifu lina ernest kati basi kapata Masonya HGK, hongera
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    matheo hongera umechaguliwa Iwalanje PGM, best of luck
  5. M

    JamiiForums Tanzania Herufi ya mwanzo ya jina lako inabeba tabia yako

    M- nimeipenda hyo, umeipatia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    Umepata mbeya HGK
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    Bahati mbaya sijakuona
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    tupe shule uliyotoka , jina hilo nasikitika sikuliona
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya Diploma ( ufadhili) unapatikanaje ?

    Nime tafsirika vibaya nilikuwa namaanisha kwamba umeshachaguliwa kusoma diploma kwa kuomba kupitia NACTE je hizo sponsor unazipataje? au inategemea na bahati
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya Diploma ( ufadhili) unapatikanaje ?

    "unaombaje ,nimeona sponsor za degree, na uombaji wa mikopo na sio sponsor"
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya Diploma ( ufadhili) unapatikanaje ?

    unaomba vp? naomba msaada
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sponsorship ya Diploma ( ufadhili) unapatikanaje ?

    kwa ambao wanaomba diploma sponsor unaomba au unapata tu ukishachaguliwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao wanaomba vyuo vya afya

    na ajira zao nimoja kwa moja au ndo zile za kuomba
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ambao wanaomba vyuo vya afya

    Naomba kuuliza , hivi ukimaliza diploma in clinical medicine unaajiriwa kama nani, au unachukua nafasi ipi hospitali
  15. M

    JamiiForums Tanzania Get All Android secret codes here

    Unaweza nisaidia jinsi ya kupata3G ktka hawei y300
Back
Top Bottom