massoudamour
Member
- Aug 13, 2014
- 17
- 1
kwa ambao wanaomba diploma sponsor unaomba au unapata tu ukishachaguliwa
"unaombaje ,nimeona sponsor za degree, na uombaji wa mikopo na sio sponsor"Ingia kwenye website ya bodi ya mkopo wametoa maelezo kuhusu hilo
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums