Recent content by Massimba Jr

  1. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    LAbda yupo muhimbili promo
  2. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Wengi wa diploma wanaomba sana kwa sasa asikudanganye mtu,competition kubwa sana kwa sasa hiyo GPA zipo kibao
  3. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Hii ndo ipo sawa mzee huyo analeta kuongea asichojua dogo aombe Makerere hapo,japo kwa makerere sasa hivi wameanzisha qualification lazima uwe na experience ya miaka miwili kazini toka umalize diploma ndo wanakuchukua kuna ambao wamekosa hapo kwa hiki kigezo
  4. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Hawezi kuja na majibu huyu hhiyo data haipo africa mzee
  5. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Embu tuonyeshe hiyo takwimu mkuu
  6. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    ila february aombe makerere mapema aone kuliko aje kuomba september MUHAS akose halafu makerere muda uwe umeisha maana makerere ada yao nzuri sana
  7. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Sawa
  8. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Halafu pia Makerere ipo juu kuliko hiyo Muhas
  9. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Nashauri nenda omba Makerere mapema,hiyo GPA kupata huko bila kujuana utahangaika sana muhimbili pagumu mzee Makerere nenda tu kuanzia mwezi wapili huko wanaanza application
  10. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Hii ni kweli kabisa
  11. Massimba Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetekwa na Li-shangazi Makongo Juu, Kumbe hivi ndivyo Dunia ilivyo?

    Njoo nikupake.futa
  12. Massimba Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uombaji wa kozi vyuo vikuu Tanzania 2023/2024

    Anaweza kusoma kozi ya udaktari vyuo vya private,japo ushindani ni mkubwa sana kwa sasa.Muhimbili itamsumbua.Kuna kozi pia nzuri kama Bachellor of radiology(mionzi),doctor of dental surgery.
  13. Massimba Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    Endelea kutafuta basi tusipanic
  14. Massimba Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    Ambao hawataki kuajiriwa wanafanya vitendo siyo maneno.
  15. Massimba Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa

    Maana hayo unayoita maarifa huko sidhani kama yatakusaidia hivyo unavyosema.Any way pambana tu kwa nn hayo maarifa yasikusaidie kupata mke mazingira uliyopo unakuja kutafuta huku
Back
Top Bottom