ahzan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2022
- 302
- 475
Uchoyo na ubinafsiHapana mimi nipo njema kiuchumi ila sipendi kusumbuliwa na wakwe kuhusu kutoa hela ya kuwahudumia binafsi napenda familia ya wakwe wanaojitegemea
Uchoyo na ubinafsiHapana mimi nipo njema kiuchumi ila sipendi kusumbuliwa na wakwe kuhusu kutoa hela ya kuwahudumia binafsi napenda familia ya wakwe wanaojitegemea
Sio uchoyo bali kuepuka matatizoUchoyo na ubinafsi
Endelea kutafuta basi tusipanicKwani mimi nilikuja kutangaza biashara yangu au kwa lengo la kutafuta mchumba ebu tuanzie apo mkuu mbona unapanic sana??