Recent content by massiba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Moses machali, Zitto Kabwe kakupoteza

    Machemli Alipigwa Chini Kwenye Kura Za Maoni,hvo Ukerewe Iko Chini Ya Mkundi-Chadema,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Walimu waongezewe muda kuripoti

    ni kweli waongeze mda wa kuripoti huku mikoani usafiri ni shida
  3. M

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    wadau naomba kupewa maelezo ya ntare secondary ktk halmashauri mpya ya kyerwa kagera.je iko mazingira gan.miundo mbinu.na vtu vngne
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyeji wa KYERWA-KAGERA

    wadau ktk ajira mpya za ualimu mwaka huu nimepangwa huko halmashauri mpya ya kyerwa-kagera.kwa aliyepangwa huko au mwenyeji wa huko anielekeze vizuri
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    Matokeo ya yangu gpa-1.1 pass masomo civics-d history-e geography-c kiswahili-c english-d biology-e math-e comass-d b/keeping-d
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    hebu kama mwana jf unayefuatilia bunge tumjadili mwigulu chemba,binafisi kwa mara ya kwanza nampongeza kwa ujasiri na kutanguliza maslahi ya taifa mbele
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Bunge halina Mamlaka ya kuniwajibisha!

    werema anaweza kuwa sahihi lkn akumbuke aliyemteua naye alichaguliwa na sisi wananchi hivo werema asisubiri bunge ama rais,sisi wananchi tunataka awajibike
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benjamini Mkapa,Jakaya Kikwete na Andrew Chenge ni key players mkataba wa IPTL na wanapaswa kuhojiwa

    Renatus Mkinga Yuko Sahihi Watajwa Ktk Thread Ni Lazima Wajitathimini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    nilichokiona rais hakuja kuhutubia bunge ama kuzindua bali alikuja kumjibu Warioba na kuonyesha msimao wa ccm.nilitarajia yy kama kiongozi wa nchi kutoonyesha upande bali jukumu lingeeachwa kwa wajumbe kulumbana kwa hoja ili kutupa katiba ya kuwafaa watanzania
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa viongozi wa CHADEMA

    tulichokipata si haba
Back
Top Bottom