Waraka wa wazi kwa viongozi wa CHADEMA

Waraka wa wazi kwa viongozi wa CHADEMA

Shukrani A. Ngonyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
1,182
Reaction score
2,021
Nipende kumshukuru mwenyezi mungu kwa kumalizika kwa uchaguzi mdogo Iringa huku ukiacha somo kwetu.

Nimpe pole Rose Kamili kwa ukatili aliofanyiwa na "wakoloni weusi". Hakika ni mapito ambayo kila mpigania uhuru wa kweli lazima apitie.

Nitoe pole nyingi kwa CHADEMA kwa kushindwa uchaguzi huo. Lakini nitakuwa sitendi haki kama sitotoa maelezo mafupi kwa viongozi wa CHADEMA.

1. Tumefanya vibaya ktk uchaguzi mdogo wa madiwani hivi majuzi. Lakini malalamiko yamekuwa yale yale ya kuibiwa kura., kutokuwa na uchaguzi huru na haki, polisi kuingilia uchaguzi na kuwapa upendeleo MaCCM, tume kutokuwa huru nk.

2. Tumeenda Kalenga sote tukijua kuwa Iringa tukiwa tuna mtaji ktk mkoa huo kwani Iringa mjini ina mbunge wa CHADEMA. Mch. Msigwa na kutoka Kalenga hadi Iringa mjini si mbali sana, hivyo vuguvugu la upepo wa mabadiliko likivuma Iringa ni rahisi kupuliza hata Kalenga.

Lakini tumeshindwa vibaya sana Kalenga huku sababu zikiwa ni zile zile. WIzi wa kura, polisi na green guard kuwa wamiliki wa uchaguzi, kuwa na upendeleo kwa tume ya uchaguzi kwa chama tawala nk.

Wanachama wanapata sononi, tunajipa moyo huku tukitambua kuwa ndoto yetu ya kumwondoa mkoloni mweusi inayeyuka. Tunapata maumivu ya moyo yasiyoelezeka.

3. Tumekuwa na fukuza fukuza ya wanaCHADEMA ambao wanatofautiana mawazo, fikra, mtazamo, maoni na wale walio wanaojiona wao ndio wana haki pekee ya kuisemea CHADEMA.

Hali hii imekuja huku tukiwa na chaguzi hizi na binafsi nadhani ni sababu iliyopelekea kushindwa kwetu vibaya kwenye chaguzi hizo.


WITO WANGU KWA VIONGOZI, WANACHAMA NA WAPENZI WA CHADEMA

1. Tumewekwa busy sana kujadili migogoro kuliko kuweka mikakati ya kumwondoa mkoloni mweusi. Nashauri ifanyike suluhu ya migogoro kwa amani bila kuacha makovu kwenye chama.

2. Ifanyike tathmini ya uchaguzi mdogo wa madiwani na huu wa Kalenga hata kabla ya kwenda kutiana aibu Chalinze. Na maazimio ipangwe mipango ambayo italeta ufanisi ktk chaguzi zijazo.

3. Tutazame faida za chaguzi ndogo na hasara zake. Ikiwezekana tuache kushiriki kwenye chaguzi ndogo ambazo hatuna uhakika wa kushinda japo tunakipa chama uhai na tathmini. Tunatumia gharama kubwa huku mwisho wa siku mkituacha na ugonjwa wa moyo.

4. Iundwe kamati ndogo au kitengo kitakachoshughulika na chaguzi ndogo na sio kurugenzi ya bwana kigaila ya sasa.

5. Kuwekwe shinikizo kuwa bila kuwa na tume huru ya uchaguzi mwaka 2015, CHADEMA haitashiriki uchaguzi na kweli ifanyike hivyo. Tususie uchaguzi ngazi ya raisi kwani kwa hali iliyopo sasa uwezekano wa kushinda haupo kwa tume hii ya mamburura.

Ngonyanishukuru@gmail.com
0754 509 869
 
Kalenga ailfukuzwa nani? Tatizo ni pale mnapokuwa washauri kuliko kujenga chama! Umeenda wapi kujenga chama wananchi wakakuuliza habari ya mgogoro? Sipendi wanachama wenzangu wa kundi la Keyboard waliyo busy kushauri na kukosoa badala ya kwenda site!
 
Chaguz ndogo n ukweli usiopingika..cdm tunashndw sbb ya daftar yawapikura..KALENGA 71ALFU WALIPIGA 28ALFU..wapi wengne?
 
cdm kwa sasa kinachoipelekea kushindwa vibaya ni migogoro ndani ya chama inayokipa taswaira kuwa chama hicho si chama cha haki kwa kuwa kuna wanachama wanapendwa wa eneo fulani (WACHAGA) kuna dini isiyohitajika ndani (WAISLAMU) mbali na adui yao mkuu ccm wamebadilisha mwego na kujiongezea maadau ZZK, ACT na CCM muda wa kampeni za ukweli hawana badala ya kwenda kutukanana kwenye majukwaa
 
KM WAPIGA KURA 2010 walikuw 71alfu inamana 2014 watakuwa zaidi ya lakimoja..je n wangapi wamekosa hakizao?tafakari mku
 
Nipende kumshukuru mwenyezi mungu kwa kumalizika kwa uchaguzi mdogo Iringa huku ukiacha somo kwetu.

Nimpe pole Rose Kamili kwa ukatili aliofanyiwa na "wakoloni weusi". Hakika ni mapito ambayo kila mpigania uhuru wa kweli lazima apitie.

Nitoe pole nyingi kwa CHADEMA kwa kushindwa uchaguzi huo. Lakini nitakuwa sitendi haki kama sitotoa maelezo mafupi kwa viongozi wa CHADEMA.

1. Tumefanya vibaya ktk uchaguzi mdogo wa madiwani hivi majuzi. Lakini malalamiko yamekuwa yale yale ya kuibiwa kura., kutokuwa na uchaguzi huru na haki, polisi kuingilia uchaguzi na kuwapa upendeleo MaCCM, tume kutokuwa huru nk.

2. Tumeenda Kalenga sote tukijua kuwa Iringa tukiwa tuna mtaji ktk mkoa huo kwani Iringa mjini ina mbunge wa CHADEMA. Mch. Msigwa na kutoka Kalenga hadi Iringa mjini si mbali sana, hivyo vuguvugu la upepo wa mabadiliko likivuma Iringa ni rahisi kupuliza hata Kalenga.

Lakini tumeshindwa vibaya sana Kalenga huku sababu zikiwa ni zile zile. WIzi wa kura, polisi na green guard kuwa wamiliki wa uchaguzi, kuwa na upendeleo kwa tume ya uchaguzi kwa chama tawala nk.

Wanachama wanapata sononi, tunajipa moyo huku tukitambua kuwa ndoto yetu ya kumwondoa mkoloni mweusi inayeyuka. Tunapata maumivu ya moyo yasiyoelezeka.

3. Tumekuwa na fukuza fukuza ya wanaCHADEMA ambao wanatofautiana mawazo, fikra, mtazamo, maoni na wale walio wanaojiona wao ndio wana haki pekee ya kuisemea CHADEMA.

Hali hii imekuja huku tukiwa na chaguzi hizi na binafsi nadhani ni sababu iliyopelekea kushindwa kwetu vibaya kwenye chaguzi hizo.


WITO WANGU KWA VIONGOZI, WANACHAMA NA WAPENZI WA CHADEMA

1. Tumewekwa busy sana kujadili migogoro kuliko kuweka mikakati ya kumwondoa mkoloni mweusi. Nashauri ifanyike suluhu ya migogoro kwa amani bila kuacha makovu kwenye chama.

2. Ifanyike tathmini ya uchaguzi mdogo wa madiwani na huu wa Kalenga hata kabla ya kwenda kutiana aibu Chalinze. Na maazimio ipangwe mipango ambayo italeta ufanisi ktk chaguzi zijazo.

3. Tutazame faida za chaguzi ndogo na hasara zake. Ikiwezekana tuache kushiriki kwenye chaguzi ndogo ambazo hatuna uhakika wa kushinda japo tunakipa chama uhai na tathmini. Tunatumia gharama kubwa huku mwisho wa siku mkituacha na ugonjwa wa moyo.

4. Iundwe kamati ndogo au kitengo kitakachoshughulika na chaguzi ndogo na sio kurugenzi ya bwana kigaila ya sasa.

5. Kuwekwe shinikizo kuwa bila kuwa na tume huru ya uchaguzi mwaka 2015, CHADEMA haitashiriki uchaguzi na kweli ifanyike hivyo. Tususie uchaguzi ngazi ya raisi kwani kwa hali iliyopo sasa uwezekano wa kushinda haupo kwa tume hii ya mamburura.

Ngonyanishukuru@gmail.com
0754 509 869
njoo ofisini utoe mawazo yako hayo, huku JF siyo, kama unataka specific issues
 
cdm kwa sasa kinachoipelekea kushindwa vibaya ni migogoro ndani ya chama inayokipa taswaira kuwa chama hicho si chama cha haki kwa kuwa kuna wanachama wanapendwa wa eneo fulani (WACHAGA) kuna dini isiyohitajika ndani (WAISLAMU) mbali na adui yao mkuu ccm wamebadilisha mwego na kujiongezea maadau ZZK, ACT na CCM muda wa kampeni za ukweli hawana badala ya kwenda kutukanana kwenye majukwaa

Ww unaleta udin hp, chadema si wadin na wako viongoz wengi tu waislam,ccm walieneza ukabila wakashindwa sasa mmekosa mbinu nyingine mmebaki kutumia jeshi la police kuteka watu na kuua.
Kikwete ndo muasisi wa udin, hayat baba wa taifa mwalimu Nyerere alipinga sana vita ya udin na ukabila ila ccm ndo vinara wakwanza,
kura alizopata kikwete mwaka 2010 zote za udini aliwaahida waislam wakimchagua watawapa mahakama ya kadhi ikowapi mpaka sasa?
Wakat unaandika fikiri kwa akili zako mungu alizokupa usitumike sn,
Hao wote wanasema chadema imeanguka ni wanafki tu,
Chadema haiwez kuanguka milele ila ccm mliruhusiwa na mkuu wenu kuua yaan kujibu mapigo,
Hizi hujuma tunazofanyiwa kusingiziwa iko cku uvumilivu utatushinda,
Ccm walirusha boma arusha wakaua watu, wakasingingizia chadema wamejilipuwa wenyewe haingii akilin hata kidogo chadema wajilipue wenyewe viongoz wanakoswa risasi za moto,
Usishangae kuona nchi nyingine zinaunda kundi lao mfano kama M23, kundi la Alshababy, na Boko haramu,
Sasa huu unyanyasaji tuonafanyimwa na ccm ipo cku nac tutajibu mapigo.
Sitaki vita na sihitaji vita ila ipo cku mtu atafunga duka lake au nyumba yake bila kuamrisha na mtu yeyote kwenda kupambana nakudai haki yake, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha ipo cku tu!!!


cdm kwa sasa kinachoipelekea kushindwa vibaya ni migogoro ndani ya chama inayokipa taswaira kuwa chama hicho si chama cha haki kwa kuwa kuna wanachama wanapendwa wa eneo fulani (WACHAGA) kuna dini isiyohitajika ndani (WAISLAMU) mbali na adui yao mkuu ccm wamebadilisha mwego na kujiongezea maadau ZZK, ACT na CCM muda wa kampeni za ukweli hawana badala ya kwenda kutukanana kwenye majukwaa
 
Chaguz ndogo n ukweli usiopingika..cdm tunashndw sbb ya daftar yawapikura..KALENGA 71ALFU WALIPIGA 28ALFU..wapi wengne?

Una uhakika gani kuwa hao ambao hawajaandikishwa ndio watawapigia kura nyie?
 
Huyu mleta mada bila shaka atakuwa "team Zitto"...apuuzwe.
 
Chaguz ndogo n ukweli usiopingika..cdm tunashndw sbb ya daftar yawapikura..KALENGA 71ALFU WALIPIGA 28ALFU..wapi wengne?

Du kweli ukipenda kitu huwezi kukitasmini mapunhufu yake. Ni kwambie tu chaguzi nyingi sana zinazofanyika nchi tofauti kwa takwimu zinavyonesha wapiga kura hawajitokezi wengi kwenye kupiga kura nasio africa tu hata uko ulaya ndivyo ilivyo kama hapa kwetu tuwanze na hapa kwetu uchaguzi wa mwaka 2000 wliojitokeza walikuwa 61% tu mwaka 2005 daftari lakudumu ndio liliboreshwa tena kwa hamasa kubwa kwani ndio ilikuwa mara ya kwanza wapigakura kupewa vipande au shahada ya kura watu walitikiya sana nakujitokeza kwani tuliaminishwa kuwa usipo kuwa na shahada utakosa vitu vingi sana kama mikopo au kuzamini mtu yote hayo waliojitokeza kupiga kura walikuwa wachache kwa 65% mwaka 2010 waliopiga kura wlikuwa chini ya 50% kila uchaguzi watu wanapunguwa upigaji wa kura sasa ww unaposema waboreshe daftari la wapiga kura kwamba litaongeza upigaji wa kura upande wa cdm unajidanganya na mawazo finyu ndugu yangu na liliya daftari liboreshwe kuwapa haki vijana na waliopoteza au kuhuza kwa tamaa ya mda mfupi ya maumivu shahada zao nao wanaitaji kupiga kura na sihote vijana ni cdm au ssm au cuf. Kumbuka wa tz wengi hawna vyama wapo wale wanaojitambuwa upigia chama kutokana na sera zao na wpo upiga kutokana na ufwasi wa mtu wanaemtka wao sasa jitasmini ww upo upande gani na sifa zipi zinazokuonesha wote watapigia cdm unajidanganya ndugu yangu kwanza tasmini uongozi wako wa juu hadi chini utapata jb ukitasmini uongozi wako kwa mapenzi hutoweza kutambuwa uozo wao kuwa huru alafu tasmini utajuwa mapungufu yao halafu utasema hata mwaka 2015 ikifika hali itakuwa tofauti na unavyo fikiria.

Asanteni sana
 
maelezo mazuri lakin hapo kwenye kutokuenda chalinze!!!!sikubsliani napo
 
1.Watu wanaoenda kinyume na malengo ya chama waendelee kutimuliwa tu bila simile.
2.Chaguzi zote lazima tushiriki kama chama hakina hela ya kushiriki kitupishe wanachama tukapambane wenyewe.Nimeenda Kalenga na kushiriki kwa gharama zangu mwenyewe na bado nafikiria kwenda chalinze.Mtu awaye yote asinikatishe tamaa.
Mengine yote uliyosema ni ya msingi sana.Yanapaswa kufanyiwa tathmini ya kina na chama.
 
Back
Top Bottom