Recent content by MASOUD NYUMBANYINGI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kutoa manii: Yanaweza yakawa na mbegu au yasiwe na mbegu. Wanaume tunajua hilo?

    hahaaaaaaaa umetisha we unaesema we ndo source kivip, who ar u by the way weka facts ndo wa2 wataelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa maumbile na viungo vya uzazi?

    hakuna ukweli wowote kuhusu hili swala coz mm nmepiga kitu chembamba hicho lakin inabana na inavuta kama kawa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kula Machungwa: Maradhi 13 yanayoweza kuepukika

    cjakusoma mkuu we unaweza kula machungwa 25 kwa cku 1 duh hyo kufuru sasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vitunguu saumu vinatibu malaria

    thanx sana tunakula na kujitibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipimo hiki ni cha kweli?

    duh mm nasikia vinafanya kazi kweli na vinatoa matatizo mtu alionayo
  6. M

    JamiiForums Tanzania kutotoka majimaji ya awali ni tatizo gani

    really hayo ni maumbile yake tu mkuu usiwe na wasi kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Excavator operator(30 vacancies)

    realy cheti hakifanyi kazi kazi anafanya m2 , wangapi wana vyeti vya kufoji ita watu vigezo kama vyeti viondoe wapi machine wakuonyeshe kazi zinavyofanywa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli castle lite inapunguza hamu ya 'sex'?

    duh hyo ki2 sio kweli wadau me naipinga kabisaaaaaaaaaaaaaaa mm nakula chui jamaa yangu anakula lite lakin kisipite kitu mbele hakiachi na kaanza mua mrefu tu sana hadi ss anagonga lite
  9. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA JAMAN KORODAN ZOTE MBILI ZIMEVIMBA ZINAUMA,PLEAS pleass

    pole sana nenda kacheki hospitali mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie madoktari wa humu!!

    ungejaribu kwenda hospitali nyingine maana upimaji tunatofautiana kabisa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je Unakunywa Juice za Mixed Fruits?...

    duuh hyo kali sasa maana mixed fruits ni tatizo nayo hatutapona sasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kupimia ukimwi

    kifaa kipo kinaitwa determine ila huwezi kukipata mtaani mkuu nenda hospitali tu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kujizuia kujikojolea (urinary incontinence)

    mkuu mm najua often kujikojolea hutokea kama sphincter muscles ambazo znaopen na kuclose zmelegea hlo ndo kubwa zaid
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    sio kila mwanamke unaweza kuingia chumvin mkuu , lazma ufanye test kwanza then ndo unazama tena kuna staili ya kuzama chumvin, chumvi hailiwi kwa pupa ila pole ndo maisha hayo ya ujana kusimuliana vijiwen,hostel nk.
Back
Top Bottom