Recent content by Masongolwa

  1. M

    Zitto aitibua CHADEMA

    Wakuu, hakuna haja ya Zitto KURUDI Chadema. Tuko kwenye mapambano ya kuing'oa CCM. Kwa umaarufu wake ingekuwa vyema aanzishe chama then ajiunge katika UKAWA. Nguvu ya cdm sasa iko katika UKAWA sio kwa mtu (individual). Katika kujenga Taasisi tusitangulize ubabe, kwamba bila yeye au mtu fulani...
  2. M

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Mkuu Money Stunna, Unaweza kunisadia kupata printing company moja huko wanaoweza kuniuzia carbonless papers? Tafadhali niulizie na unipe contact zao, hasa email na nk.
  3. M

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    Ni kweli hafai. Niliwahi kusema siku za nyuma mods wakaacha maoni yangu. Lakaini kama ulivyosema hatuoni msimamo wake kama senir citizen kwenye masuala ya msingi ya kitaifa.
  4. M

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Ndugu wana JF, Kichwa cha habari hapo juu kilinishtua sana wiki iliyopita. Wachangiaji wengi walionekana kuunga mkono. Mimi nasema huyu hana jipya. Kwanza umri umeenda na ametuangusha muda mrefu. Mambo mengi yamejitokeza hakusema kitu. Richmond, Twiga kupakiwa kwenye ndege n.k. Alitakiwa kama...
  5. M

    Prof Muhongo asema Mtwara wamekuwa wakitumia umeme wa Kiihansi kwa muda mrefu. Ni kweli?

    Sospeter, Waeleze Watanzania dhahabu ya Buhemba ilinufaisha wanabuhemba au nani?. Twambie pia Twiga wetu walichukuliwa na Watanznia wote au nani?. Watanzania wanajua na wanaona haya. Hata kama ukiandika karatasi kumi, kutokuwajibika kwenu Serikalini kumeondoa imani ya wananchi kwenu. Sera zenu...
Back
Top Bottom