Habari za Wakati huu;
Kwanza nianze kwa kusema tu kwamba kwa wale ambao jana walisahau basi jana ilikuwa ni Siku muhimu sana kwa historia ya nchi yetu.Kwa mujibu wa Taarifa za kihistoria Jana tarehe 7 ya mwezi wa Tisa ya mwaka 2017 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza Mbunge wa bunge la...
Mbona amefaulu huyo?
Mwambia tu kwamba ajiamini na aamini kwamba hakwenda shule kupoteza MUDA bali kupata elimu na elimu ameipata.
Pili Hizo Max sio kipimo chake kipimo chake ni hichi anachokifanya baada ya Matokeo na atakachokifanya baada ya hapo.
Kama atakaa na kujilaumu tu basi hata...
NIlikuwa Busy Kidogo;
Je Unalipa Kodi?Je unatumia Huduma za Kijamii?Je unafuata Sheria za nchi?Kama Jibu ni Ndio Bas hakuna ulichosusia bali unakimbia Majukumu yako ya Msingi?Demokrasia ni kukubali kutokukubliana.Hivyo Kama hukubaliani na Uhuni hiyo nayo Demokrasia.
Watanzania inapaswa...
Unajua kuna jambo moja ambalo watu wengi hawaelewi.Kususia Uchaguzi pia ni uchaguzi,Kutoshiriki katika uchaguzi pia ni uchaguzi.Kushindwa katika uchaguzi pia ni uchaguzi.
Tunachopaswa kufahamu na kuelewa ni kwamba sisi kama Raia wa nchi tunao wajibu.Wajibu wenyewe ni kuleta mabadiliko na kuleta...
Mkuu,Ujinga ni kufikiri kila mwenye fikra tofauti na wewe ni mjinga.Ujinga pia ni kuamini kwamba Uchaguzi unaibiwa.Mchakato wa Uchaguzi unaanzia kwenye hatua ya uandikishaji.Ili uchaguzi uwe huru na wa haki ni lazima zoezi la uandikishaji liwe ni la haki.
Utakapoelewa hilo basi utakuwa na haki...
Sio MWanachama wa Chama cha siasa ila ni mdau wa mchakato wa uchaguzi na hivyo Vyama vya siasa vina haki na wajibu wa kukagua daftari la wapiga kura.Tatizo watu hawatumii wajibu wao huu wa kisiasa na kijamii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.