Recent content by masirikali anselem

  1. M

    Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    Usimwambie mke wako kwani huyo Dada wa kazi, anahaki ya kufanya kitu ambacho anakipenda
  2. M

    Ukimya wa viongozi wa dini, mtasema lini?

    Hawawezi kumueleza ukweli kwanza yeye siyo mkatoliki, na haijawahi kutokea mkatoliki akaenda kuabudu kwa mzee wa upako, Mara seventh days Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Nyie ccm mnaroho mbaya kama ya firauni, hamtauna ufalme wa Mungu kwa matendo yenu maovu na dhuluma dhidi ya wanyonge Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    DC Mwanga amweka DAS mahabusu na DC Chemba amcharaza viboko mzazi wa mtoto aliyevunja gari lake

    Nchi yetu sasa imefikia hatua mbaya, haki za binaadam zinavunjwa tena zinavunjwa na viongozi, hii ndiyo nchi ya Aman Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Rav4 ya mwaka 2005 bei gani mpaka hapa tz Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Zitto wewe ni ccm hakuna asiyekujua, hata wapambe wako uliofukuzwa nao, wote ni ccm, unatarajiwa kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, unapewa fadhila baada ya kumaliza kazi uliyotumwa
Back
Top Bottom