Siwezi kukujibu kwa matusi,,,,lakini yote uliyosema kunahalalisha Tundu Lissu kumkashifu na kumdharau Rais wa Jamhuri,,,mzee Nchi yetu bado changa sana ,tuijenge kwa umoja na tuwapinge wote wanaotaka kuturudisha nyuma.
Alipigwa risasi na watu wasiojulikana na sio vyombo vya dola,tukio lake...