Recent content by Masiihi Dajal

  1. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!

    Mjomba umeiona hiyo? Vipi utetezi wako bwana PR? mtega development, politics, the media, Tanzania Skip to content Tanzania, the Economist, and the battle of fake news: who is Dr Herman Louise Verhofstadt? 1 Reply By IFLA – IFLA -- How To Spot Fake News, CC BY 4.0, File:How to Spot Fake...
  2. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

    Serikali ni kama mzazi maamuzi yake sio kwamba hayana makosa. Kukosolewa ni jambo la kawaida kabisa. Tatizo ni binadamu ambaye haambiliki hakubali kushauriwa. Je, nchi imepoteza wawekezaji? Je, vyama vya upinzani haviminywi? Je, watu hawatekwi? Je, hakuna vitisho na mauaji? Hayo ndiyo maswali...
  3. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi asema yuko tayari kuitwa mchochezi

    God cannot be mocked...muendelezo
  4. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Kwanini chama tawala kinapenda kufumbia macho taarifa za rushwa dhidi ya viongozi wake?

    Hivi sasa ndani ya CCM kuna amri za kiutendaji (executive order) Mwenyekiti anatoa amri chaguzi kufutwa...
  5. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Tanzania: The Electronic And Postal Communications (Online Content) Regulations, 2017

    Mtawala anapofikia muda wa kuangamia Mnyezi Mungu humsahaulisha kuwa kuna kufa. Kumbuka kisa cha Nabii Ibrahim na Namrooz ambaye ni baba wa madikteta. Nabii Ibrahim wakati anamlingania amuogope Mungu, akimwambia Mungu pekee ndiye mwenye kuleta uhai na yeye pekee ndiye mwenye kufisha, Namrooz...
  6. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania God is not mocked(Mungu Hadhihakiwi)

    Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatofautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi...
  7. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

    Naona ndugu yangu pamoja na maelezo ya Mbowe bado unamsakama. Kumbuka dua ya mtu aliyedhulumiwa inaleta maafa makubwa. Moja ni kuacha familia ya mtu shalimu wakiwa mayatima!!'
  8. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Jumla ya sh 204M za matibabu ya Lissu zimechangwa, aomba michango zaidi, aishutumu Serikali kuhusika na shambulio

    Inawezekana vitendo hivi vya kinyama vikawafungua watanzania macho. Utawala wa pharoah unakumbukwa lakini sio kwa mazuri. Madikteta hawatafautiani. Tumeshuhudia ni watu ambao wanaamini wanaweza kuwadanganya binadamu wenzao. Nakumbuka wale ambao wanatumia neno tumuogope Mungu, Mungu hadhihakiwi...
  9. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

    Najiuliza mwisho wa Profesa Lipumba kisiasa utakuaji. Hivi siasa inaweza kukufanya usahau siku moja utaondoka hapa duniani. Taifa linapoanza kutumia hila kuchochea migawanyiko kumbuka haiishii kwenye vyama. Kumbuka tayari mwanasiasa anaposahau kuwa unapotumiwa thamani yako inapungua na unapoteza...
  10. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ubinafsi

    Najiuliza mwisho wa Profesa Lipumba kisiasa utakuaje. Hivi siasa inaweza kukufanya usahau siku moja utaondoka hapa duniani. Taifa linapoanza kutumia hila kuchochea migawanyiko kumbuka haiishii kwenye vyama. Kumbuka tayari mwanasiasa anaposahau kuwa unapotumiwa thamani yako inapungua na...
  11. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    [Swali: Ziko nadharia mbalimbali katika mauaji yanayoripotiwa mkoa wa pwani. Lakini kubwa kuliko zote ni ile ya scorched earth policy. Tunafahamu wako ambao wanasema kutumia mfumo huu wa kikoloni kutatua tatizo la mauaji linaweza kuleta mauaji zaidi. Lakini historia inaonyesha matumizi ya sera...
  12. Masiihi Dajal

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Mpaka ipatikane katiba mpya ambapo wale wenye kujimilikisha "the monopoly of truth, wisdom and right wawe nao chini ya sheria. Hawa madikteta wote wako juu ya sheria. Failure of Constitution Review?
Back
Top Bottom