CDM ina watu wengi naona sio hoja ya kujadili. Tujenge uwezo zaidi ili tuwe nao zaidi yeyote naamini atakaye teuliwa najua atakua kifaa tu kwa kuwa CDM haina mavuvuzela
Kusema kweli siku zote mimi nimekuwa nikijiuliza Mjinga ni nani? Ukienda sokoni utakuta watu wanasema huyu mtu ni Mjinga. Go every where utakuta watu wanasema fulani ni mjinga. Mwalimu anyefundisha darasa la kwanza atamwambia mtoto 1 + 1 = 2 atamwimbisha siku nzima iliakariri na imwingie sawa...
Ni ukweli kabisa kwamba, mtu yeyote anayehitaji kuwatumkia wananchi lazima ajue atawafanyia nini. A leader should over see. Na ni lazima awe creative na kuchukua maamuzi haraka hasa katika kutatua matatizo ya watu. Ni vizuri pia watu wakajua ni kwanini tunamchagua fulani. Katika siasa za hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.