Recent content by Masibayi

  1. Masibayi

    Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

    Mi naona ina manufaa makubwa katika forensics investigation. Ukizingatia wadosi huaa wana madeal yao na hivyo kusafiri kwenye muda kutawaumbua. Nahisi hii ni sababu wanakataza kabisa. Kuhusu smartphone naweza sema ni suala la teknolojia kufichwa tu. Hakuna jipya chini ya jua. Huwa nawaza...
  2. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Nimekupata maelezo yako mkuu wangu. Kitu cha kuongezea n kwamba kuna haja ya kuelewa kwa kina juu ya kile unakifanya ili kupunguza hatari ya hasara na kukuza faida. Tunajua hatari ya hasara haiwezi kuepukika bali kuipunguza inawezekana kwa kujielimisha kila leo. Asante sana!
  3. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Thanks mkuu, Thanks mkuu, tuendelee kuvote na kushare!
  4. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Amina sana mkuu
  5. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Palikuwa na watu wawili walienda kununua bidhaa dukani. Wa kwanza baadae aliamua kurudisha bidhaa na kudai hela yake. Wa pili hakurudisha bidhaa ila alipata hela yake. Nakwambia wa pili alikuwa na busara zaidi wa yule wa kwanza. Moral of the story: Rudisho kutoka kwenye uwekezaji, ROI...
  6. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Ni issue ya elimu tu na malengo ya uwekezaji pia huenda humfanya mtu kuchagua aina hiyo ya utunzaji pesa!
  7. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Tayari nimeshaiweka mkuu
  8. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Angalia taratibu zao, kama zunakuruhusu siyo mbaya ukiweka hela yako humo. Kujua sheria zao kutasaidia zaidi mkuu wangu
  9. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Tayari ipo mkuu
  10. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Kuhusu safety ya investment; hii inategemeana Na uelewa Wa mwekezaji Na sababu za kuwekeza. Nachojaribu kumwonesha mwekezaji ni juu ya mchwa wanaikula kwenye uwekezaji wake. Kwa mfano kwa sasa hivi inflation ni 4% ikiwa Na maana kwa MTU ambaye aliweka pesa January kwa interest kwa mfano ya 5%...
  11. Masibayi

    Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  12. Masibayi

    Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa kisheria ukilinganisha na mtaji wake?

    Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake? Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua? Asanteni wanasheria!
  13. Masibayi

    SoC01 Uwekezaji kwa ajili ya Mtiririko wa Pesa (Cashflow investment)

    Nukuu kutoka kwa Bibi; Uwekezaji kwa ajili ya mtiririko wa pesa unajikita katika kukupa kipato mara kwa mara. Hii ni tofauti na ule uwekezaji wa kuongeza mtaji ambapo bidhaa ikishaenda hupati hela mpaka ununue bidhaa nyingine tena. Funzo kutoka kwenye ranchi: Ukienda kuangalia ranchi za...
  14. Masibayi

    SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Rejea katika historia Hii ni kinyume kidogo Na utaratibu tuliozoea kusikia au kushauriwa na wataalamu Wa kiuchumi au wahamasishaji,motivational speakers. Dhana ya kuweka akiba imekuwa ikielezwa katika misingi ya vitu mbalimbali Na ikipata mashiko kutoka kwenye biblia Na vitabu vingine. Ingawa...
Back
Top Bottom