Recent content by Mashona

  1. M

    Je, ni sahihi kusema Tundu Lissu alitelekeza jimbo lake la Singida Mashariki?

    Kwa maneno hayo ya Rais Magufuli hakika hayakustahili kutolewa na mtu mwenye dhamana ya Rais wa nchi, tunakuomba Rais jaribu kutuunganisha kama nchi moja, hizi kauli za rejareja hazifai kutolewa na wewe zitatugawa Watanzania. Suala la Lissu achana nalo linaweza kusababisha VISASI nchini, wengi...
  2. M

    Je, ni sahihi kusema Tundu Lissu alitelekeza jimbo lake la Singida Mashariki?

    Kwa maneno hayo ya Rais Magufuli hakika hayakustahili kutolewa na mtu mwenye dhamana ya Rais wa nchi, tunakuomba Rais jaribu kutuunganisha kama nchi moja, hizi kauli za rejareja hazifai kutolewa na wewe zitatugawa Watanzania. Suala la Lissu achana nalo linaweza kusababisha VISASI nchini, wengi...
  3. M

    Makonda awasilisha Muswada wa marekebisho ya sheria ya mirathi

    Hivi ni watu gani kisheria hawaruhusi kupeleka Mswaada bungeni na ni wepi kisheria wanaruhusiwa kupeleka Mswaada bungeni. Tuanzie hapo kwanza
  4. M

    Miaka minne ya Magufuli Watoto wetu wanasoma bure. Je, kuna nchi yoyote Africa italiweza hili?

    Tatizo watu hatufanyi utafiti Elimu bure ni Janga kwa nchi yetu, ilianza kisiasa zaidi na imekaa kisiasa tulianza bila kufanya Research ya kutosha ukitaka kuthibitisha hili waone WAKUU WA SHULE watakuambia mengi zaidi maana hata mitihani ya MAZOEA mashuleni inatungwa KIBAJETI zaidi bila ku-meet...
  5. M

    Kuna kila dalili ya maandalizi ya kuwapa kesi mbaya au kuwapoteza mawakili hawa na wateja wao

    Kama ni kweli anachokiongea Msiba naungana nae dhidi ya hao madhurumati hawafai kujitambulisha kama Watanzania
  6. M

    Dkt. Bashiru Kakurwa amesema hataki kusikia kikundi au umoja unaoitwa shirikisho la Walimu wa CCM

    Hii nchi bila kukemea hivi vikundi vya WAHUNI na walionyuma yao vitatuletea matatizo makubwa sana hapa Tanzania. Watu wamejaa ujinga kichwani wanalopoka tu hovyo hovyo na kuwachafua chafua WALIMU na Taaluma ya ualimu.
  7. M

    Mapokezi ya dhahabu: Wakenya si kama sisi, watakuja kutueleza ukweli ni upi

    Kuna mtu kunidokezea kwamba ile ilikuwa ni mbinu na propaganda ya kuwatoa Watanzania kwenye suala la Mchangao wa nyongeza ya Mishahara yaani Statutory Annual increments na Madaraja kwa watumishi wanaostahili kupandishwa vyeo na Madaraja. Changa la macho kama kawaida hiyo ni funika
  8. M

    Je, ni vyuo gani vinaongoza kwa kutoa wasomi walioiva vizuri Tanzania?

    Mimi nimesoma UDOM kwa miaka mitatu mbona SIASA sikuziona? Na kuhusu miundombinu mbona ipo ya kutosha labda uainishe hiyo miundombinu ya aina ipi kwa mfano?
  9. M

    Uamuzi mgumu Serikali punguzeni kazi za serikalini

    Kwenye halmashauri nyingi hapa Tanzania idara zingine hazina impact yoyote,, chukulia kwa mfano idara za MIPANGO MIJI hawana lolote wanalolifanya watu wanajijengea nyumba wanavyotaka wao wakati hii idara ipo, MIJI haina mpangilio wowote iko hovyooooooo nyumba Zimeshonana hadi balaaaaa lakini wao...
  10. M

    Bajeti 2019/2020: Asilimia kubwa ya watu mitaani hawaonyeshi kuguswa; ni tofauti na miaka ya nyuma

    Ukitaka Ukitaka kujua kwamba tumepotea wasikilize mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya muda mwingi wanatumia kumpamba Magufhhuli na kibaya zaidi waliowengi sio wabunifu kwenye nafasi walizopo na hawasomi updates mbalimbali Duniani zinazohusu nafasi zao ni mpaka Rais aseme ndo utawaona wanazunguka...
  11. M

    Bajeti 2019/2020: Asilimia kubwa ya watu mitaani hawaonyeshi kuguswa; ni tofauti na miaka ya nyuma

    Bajeti za awamu hii hazina impact kubwa kwenye maisha ya Mtanzania,,, nchi imeishapoteza mwelekeo kila kitu ni propaganda zisizokuwa na mantiki. Tumeacha kuzungumza kama wenye ku-focus mbele yetu kama Watanzania,,, muda mwingi tunafikiria kuendelea kubaki madarakani tu. Tujifunze kwa wenzetu...
  12. M

    Waziri mpya wa biashara waambie Kariakoo wafungue biashara kubwa haraka; Wanyarwanda wanakuja kibao kununua bidhaa

    Kero mojawapo ambayo wafanyabiashara wanaipata ni RUSHWA ya polisi barabarani hilo serikali waliangalie kwa umakini
  13. M

    Sababu 3 Kwanini Magufuli Anatumia Kiswahili kwa Wageni na Ngambo... na maana yake kwetu...

    Kuna watu wanadai eti UDSM ni chuo bora Tanzania wanachukua wanafunzi wenye IQ kubwa kuliko vyuo vyote Tanzania na wanatoa graduate wazuri kuliko graduate wa vyuo vingine, Sasa wenye uelewa wetu tunazidi kuwacheka tu maana ubora ni wa mtu mwenyewe sio wa chuo na huyo bora anaweza kuwa chuo...
  14. M

    Kushangiliwa maana yake nini?

    Ushauri wa MALEMA kwa Ramaphosa unafaa kuigwa hapa Tanzania na Watanzania sio ngonjera za mtoa MADA,,,, nanukuu "He said the position Ramaphosa held needed people who tell him the truth at all times. He further advised him to use young politicians in the ruling party, instead of recycling those...
  15. M

    Habari kuu ya leo: inaposhangiliwa Tanzania sisi tunasema anashangiliwa Rais Magufuli

    Kuna nini kuhusu Rais wetu? Wapambe mbona mnasumbuka sana kumpamba Rais wetu!!! Nini kiko nyuma ya hayo mapambio? Kwanini tusiache kazi zake anazozifanya zimpambe? Msimpanikishe Rais wetu ipo siku atakuja kufanya baya lolote kisa tu anataka apambwe!!!! Tanzania mbona kama tunazidi kuwa...
Back
Top Bottom