Waziri mpya wa biashara waambie Kariakoo wafungue biashara kubwa haraka; Wanyarwanda wanakuja kibao kununua bidhaa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nimetoka Rwanda na kawaida yangu nikisafiri nchi yoyote Duniani Mimi huangalia fursa tu sitaki kurudi na album ya picha tu nilizopiga maeneo maeneo.

Nimerudi na fursa toka Rwanda wanyarwanda ni land locked country baada ya ugomvi wao na Uganda na kufungiana mipaka Kila mfanyabiashara Rwanda bidhaa zake anataka kuchukua Tanzania kwa sababu upande wa Uganda hakuendeki.

Wafanyabiashara Kariakoo fursa hiyo.Fungueni miduka muuzie wanyarwanda.Biashara njema.Changamukieni fursa hiyo.
 
Zile lugha za kijinga kuwa watu wataishi kama mashetani na kulimia meno naona sasa zimeisha. Waambieni na hao wajinga wengine huko barabarani wanaoleta vizuizi visivyo na tija zaidi ya rushwa wawe wapole. Ile heshima tuliyokuwa tunaitaka tunaona sasa imerejea rasmi.
 
Nimetoka Rwanda na kawaida yangu nikisafiri nchi yoyote Duniani Mimi huangalia fursa tu sitaki kurudi na album ya picha tu nilizopiga maeneo maeneo.

Nimerudi na fursa toka Rwanda wanyarwanda ni land locked country baada ya ugomvi wao na Uganda na kufungiana mipaka Kila mfanyabiashara Rwanda bidhaa zake anataka kuchukua Tanzania kwa sababu upande wa Uganda hakuendeki.

Wafanyabiashara Kariakoo fursa hiyo.Fungueni miduka muuzie wanyarwanda.Biashara njema.Changamukieni fursa hiyo.
Hizo biashara kafungue wewe na mumeo jiwe tuko busy kulimia meno na kuishi kama mashetani usitukere tafadhali
 
Nimetoka Rwanda na kawaida yangu nikisafiri nchi yoyote Duniani Mimi huangalia fursa tu sitaki kurudi na album ya picha tu nilizopiga maeneo maeneo.

Nimerudi na fursa toka Rwanda wanyarwanda ni land locked country baada ya ugomvi wao na Uganda na kufungiana mipaka Kila mfanyabiashara Rwanda bidhaa zake anataka kuchukua Tanzania kwa sababu upande wa Uganda hakuendeki.

Wafanyabiashara Kariakoo fursa hiyo.Fungueni miduka muuzie wanyarwanda.Biashara njema.Changamukieni fursa hiyo.
Mngeanza kuwarudushia mitaji yao mliyowafilisi kwanza. Unadhani walipenda kuzifunga? Naona siku hizi mmeanza evolution ya kugeuza tena mashetani kuwa malaika.
 
Tiaraei wanawawinda kama swala anavyowindwa na Simba. Ukiuza hata gauni moja bila receipt faini ni 4.5M.
Kibaya zaidi wanakuja na vijana wao ananunua raba alafu anatoka nduki kisha anarudi na afisa wa tiaraei eti hukumpa receipt ukitoa rushwa wanagawana na huyu kijana.
 
Nimetoka Rwanda na kawaida yangu nikisafiri nchi yoyote Duniani Mimi huangalia fursa tu sitaki kurudi na album ya picha tu nilizopiga maeneo maeneo.

Nimerudi na fursa toka Rwanda wanyarwanda ni land locked country baada ya ugomvi wao na Uganda na kufungiana mipaka Kila mfanyabiashara Rwanda bidhaa zake anataka kuchukua Tanzania kwa sababu upande wa Uganda hakuendeki.

Wafanyabiashara Kariakoo fursa hiyo.Fungueni miduka muuzie wanyarwanda.Biashara njema.Changamukieni fursa hiyo.
Bado tunalimia meno,tunaisubiria deadline ya kuisoma namba ipite ndo tufungue biashara tumetunza Pesa kwanza
 
Tiaraei wanawawinda kama swala anavyowindwa na Simba. Ukiuza hata gauni moja bila receipt faini ni 4.5M.
Kibaya zaidi wanakuja na vijana wao ananunua raba alafu anatoka nduki kisha anarudi na afisa wa tiaraei eti hukumpa receipt ukitoa rushwa wanagawana na huyu kijana.
Wabongo Kwa kutumia fursa hawawezi Leo wanafyatua kitambulisho vya machinga wanauzia watu.
 
Back
Top Bottom