Hivi ni vitu gani katika jamii mtu anatakiwa kujinyima ili kufanikisha kuvifanya na jamii isimuone limbukeni?
Kwa sababu mtu akijinyima kununua gari anasemwa
Akijinyima katika ujenzi anasemwa
Akijinyima kupanga nyumba nzuri anasemwa
Au jamii yetu imefika hatua ya kunormalize vitu vibaya?
Nakumbuka uefa euro ya mwaka 2021 C.Ronaldo alikuwa kwenye press conference na mezani kulikuwa na vinywaji vya cocacola kama wadhamini, Ronaldo alipofika eneo la tukio na aliviondoa vile vinywaji vya kampuni ya cocacola na kuweka maji kama mbadala wake huku akizungumza “don’t drink Cocacola...
Asante sana mkuu, nadhani mm naweza kuwa nimesababishiwa na moja wapo ya ulivyo orodhesha. Tuje kwenye njia za utatuzi kama unaweza kuziorodhesha sambamba na faida na hasara zake ili nifanye maamuzi kabla sijafika magomeni
MZAHA
1. Yesu alikuwepo kabla ya ibrahimu je hao houth walikuwepo
2. Yesu alifufuka baada ya siku tatu je hao watafufuka
3. Upendo wa agape hauhusishi kumdhuru mwingine ili mwingine asaidike zaidi umesisitiza kuwa tuwapende zaidi wanao tukosea kuliko hata marafiki zetu
ULINGANIFU WA YESU na...
japo umeongea kwa mzaha ila ngoja tuliweke sawa. Ubora wa Yesu kujitoa haupo katika kitendo tu cha kufa kwa ajili ya watu lakini ni uthamani wake, yeye hakuwa na hata tone la dhambi tofauti na mimi au wewe.
2. Yesu hakumdhuru mwingine ili ampatie haki mwingine.
Kwa mtu ambae ana mpangilio mbaya wa meno yani yaacha nafasi na kutengenezea ueazi wa mabaki ya chakula kubaki na kusumbua kutoka hata kwa toothpick, njia ya kumsaidia ni kuyapanga kwa hzo braces pekee au kuna njia nyingine tofauti?
Kama ni hizo braces je, side effect zake ni zipi kwa mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.