naombeni kuuliza wakuu,,, hivi hakimu wa mahakama ya mwanzao ambaye alisaini katika wosia flani kama shahidi, je anaweza kuja kusikiliza shauri lolote linalohusu wosia ule hapo baadae? kama kuna sheria inatamka hilo au kesi yoyote ile mnisaidie wakuu
Naombeni kuuliza wakuu, hivi hakimu wa mahakama ya mwanzao ambaye alisaini katika wosia flani kama shahidi, je anaweza kuja kusikiliza shauri lolote linalohusu wosia ule hapo baadae? kama kuna sheria inatamka hilo au kesi yoyote ile mnisaidie wakuu
wakuu naombeni kuuliza eti ikiwa hakimu wa mahakama ya mwanzo aliweka saini kwenye wosia kama shahidi anaweza kuja kusikiliza shauri linalohusu wosia huo hapo baadae mtoa wosia akifariki?
Wosia uloandikwa na marehemu wakati anaumwa sana unaweza kutumika? Kama kuna kesi inaonesha hyo naombeni mnisaidie wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app
Wosia uloandikwa na marehemu wakati anaumwa sana unaweza kutumika? Kama kuna kesi inaonesha hyo naombeni mnisaidie wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habarin za jioni..naombeni ushaur na maelekezo ya kitaalam coz naamin wataalam wapo humu...inshu ni hvi nataka nifanye biashara ya kupiga muziki kweny matukio kama sherehe madisco n.k sasa nina baadhi ya vifaa kama spika 2 za mid double double..nina spika moja ya bass single pia nina power...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.