Usichanganye na maji tena!! ukiongeza maji utapunguza nguvu yake hivo ufanisi wake utapungua, kama shamba ni kubwa jitahidi kupata mbegu za kutosha ziendane na mahitaji kwa mchanganyiko sahihi utapata matokeo mazuri shambani.
Jinsi ya kutengeneza kiuadudu cha asili kwa kutumia mbegu za mti wa mwarobaini.
Okoa fedha na linda afya za walaji kwa kutumia viuadudu vya asili kudhibiti wadudu shambani kwako.
Fuata hatua zifuatazo kutengeneza kiuadudu kwa kutumia mbegu za mti wa mwarobaini.
[emoji736] Kwanza tafuta...
"Dondoo muhimu za msimu wa mvua za Vuli; Oktoba - Disemba 2023"
Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.
"Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa msimu wa mvua za Vuli katika kipindi cha Oktoba – Disemba, 2023, ushauri kwa wadau wa sekta na mamlaka...
KILIMO CHA MAHINDI YA KUCHOMA.
Dhana ya kulima mahindi na kuyauza mabichi kwenye soko kabla hayajafikia hatua ya unga mgumu inajulikana kama kilimo cha mahindi ya kuchoma au uzalishaji wa mahindi mabichi, Kwa kawaida zao la mahidi hudumu kwa takribani siku 90 hadi 120 shambani inategemeana na...
Ni kweli hili zao sasa hivi linalimwa na watu wengi sana katika maeneo mengi lakini wengi wao ni wakulima wadogowadogo wanaolima nusu ekari mpaka ekari moja.
Ni kweli kabisa hesabu za kwenye karatasi huwa mara nyingi zinaenda tofauti na uhalisia shambani, Lakini sababu kubwa ni vile watu tunashindwa kusimamia yale yaliyopo kwenye karatasi! na kama uliwahi kulima kilimo cha kutuma pesa bila kufika shambani lazima utabisha na kuuliza maswali mengi...
Ni kweli kilimo kama biashara zingine kuna changamoto !! lakini mimi shida kubwa ninayoiona ni watu hatupendi kuwekeza kwenye maarifa, tunakimbilia kupata mtaji na kukokotoa faida, mafanikio kwenye biashara ya kulima utaalamu unachukua nafasi kubwa sana.
UTANGULIZI
Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani, zao hili huwapatia watu kipato.
Matikiti maji ni mojawapo ya jamii za matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hii inapatikana katika kundi linalojumuisha mimea mingine kama...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWENYE KILIMO CHA PAMBA
Mwandishi: Mashima Elias
Ili kuongeza tija na Ubora wa Pamba Mkulima hana budi kuweka Juhudi katika kupata maarifa zaidi kuhusu kilimo cha pamba, maarifa haya unaweza kuyapata kwa wataalamu wa kilimo (Maafisa Kilimo) au kutoka kwa wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.