Sababu ya kubwa ya kubadili ni kwa sababu nimejiajiri mwenyewe katika biashara mbalimbali.
Hivyo naona kuendesha bila ya kuwa na elimu ya biashara nahisi kama kuna vitu nakosea sababu nina update mtaji mara jwa mara. Hivyo kuendesha biashara bila ya kuwa na elimu husika naona kama najitekenya...
O[ mkuu natafta ndama hao wako ni wakubwa siwawezi.But nicheki kwenye line tuongee biashara.QUOTE="balimar, post: 33791161, member: 326137"]
Mkuu hongera
Mi ninao watano wa kisasa Jesse
Ila bei nadhani hutoweza maana hawapungui million 1.5
Ok
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.