Recent content by mashati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais wetu ajaye 2015 lazima aijue Tanzania kwa kuzunguka kwa gari si ndege

    Mm! Kwa hili umechemka=Mwamba Usemao Kweli;12928668]Kwa yeyote autakaye urais wa tanzania ni vema aifaham nchi kwa kuizunguka nchi kwa njia ya gari na si kwa ndege. Yeyote atakaye izunguka nchi kwa anga hatufai kwani hataweza kutambua shida inayowapata watanzania wengi na mazingira wanayoishi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani utakuwa ICU baada ya Oktoba 2015

    Sijui hata umeandika nini hapo mi naona umeandika 'Uharo' tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kikwete aendelee kuongoza Tanzania

    Anazeeka vibaya huyu mzee bora akalime kahawa huko Vunjo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM Madarakani kwa kutumia demokrasia ya ubaguzi ndani ya vyama vya upinzani ni vigumu

    Huna lolote wewe tumeshakugundua hila zako ni kutaka kuvuruga harakati za ukombozi! Waambie waliokutuma imeshindikana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe mbona Kongwa huji kufuta CCM kwani Kinana na Nape wanaleta propagannda tu

    Natumaini Makamamnda wamesikia na watalifanyia kazi. Asante kwa taarifa nzuri.
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Inaweza kuwa HBP
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kisheria, Kura ya Maoni Haitaweza Kufanyika Tena

    Suluhisho sio kuacha kupiaga kura bro ishu ni kwamba kama huitaki katiba pendekezwa(hata mimi nimeshaikataa) nenda kapige kura ya NO.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Jakaya Kikwete ameshawahi kuandika kitabu?

    Zero brain
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nani atapigiwa mizinga Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar?

    Umbea gani wakati kauliza swali la msingi? Na wewe lazima utakuwa 'HAMNAZO'!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya waliopo au wanaojiunga na Upinzani ni waliopigika.

    Mmh! No direction
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je 2015 ulaghai wa kanga, tshirt na kofia zitawalevya tena Watanzania?

    Haya majizi yalishaazoea kugawa viji tshirt, vikanga na vijikofia! Waendelee na huo ujinga ila sisi wapenda haki tusambaze elimu kwa raia.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    Mh UHURU! Gazeti lenyewe la kifisadi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukakasi wa tamisemi juu ya chama cha DP

    Ni hila tupu lkn zina mwisho wake
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natamani watanzania watoe zawadi tatu mwaka 2015

    Zawadi zote tatu lazima nizitoe kwa moyo mmoja na Mungu anibariki
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Rais ajaye atakuwa kijana, jina mchanganyiko kiislamu na kikristo au ameoa dini nyingine

    Atatoka UKAWA endapo ccm watashindwa kubuni mbinu mpya za wizi wa kura! Lkn kwa mtazamo wangu nadhan hawana jipya kisiasa zaidi ya kubakia historia
Back
Top Bottom