Tatizo ukiongelea siasa hasa siasa za kuikosoa serikali na chama chake unajiingiza kwenye matatizo na wachangiaji wengi hautapata maana kila mmoja anaona ni kujiingiza kwenye hatari. Kwahiyo wengi wanaona ni bora kujadili Simba na Yanga ni salama zaidi kuliko siasa.
Waisrel ndiyo hao Waafrika waleo wao walikimbia huko kwao na kukimbilia huku Afrika, Na leo Waafrika wanateseka kwasababu ya kutokujua kile wanacho kifuata maana kumbukumbu la torati 28, linasema "Mtaabudu miti na mawe na mtachukuliwa utumwani na huko mtatumikia miungu mingine"
Tatizo wanasayansi wengi hawaamini kuhusu Mungu, mfano hapo kusema dunia ina umri wa miaka Bilions 4.5. pengine ukifatilia wapo nje ya biblia na hata tafiti zao ni kupotosha au kukana kama kuna Mungu, wao wapo na mlengo mwingine nk. Pengine kuna ukweli wanujua au nawenyewe wapo kutafuta majibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.