Recent content by Mashakampina

  1. M

    Nape: Walioleta vurugu uchaguzi Serikali za mitaa ni Wapinzani

    Chanzo siyo upinzani ni ccm kutaka kuapisha mtu ambaye siyo chaguo la wanainchi . Wasifikilie kuwa watanzania bado tumelala kama zamani tunachagua kiongozi tunayemtaka cc wao wanaapisha wakwao na tunachukulia poa . Leo hii haipo kama wameshindwa wakubali matokeo c kutumia utawala wao...
  2. M

    Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

    Akipita lowasa sitaipenda nchi nitaishi tu kwasababu nilizaliwamo
  3. M

    Msaada plz kwenye flush disk

    nenda kwenye my computer ritclic>Manage> disk management>ritclick kwenye flush yako zen format tick quick format itaandika NEW VOLUM
Back
Top Bottom