Recent content by mashakaDaima

  1. mashakaDaima

    Nauza nokia lumia

    kwanini unaiuza?
  2. mashakaDaima

    Natafuta Laoptop

    Kwa yeyote anayeuza laptop kuanzia laki Tano na kushuka chinji tuwasiliane. 0684036259
  3. mashakaDaima

    Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA akamatwa na Jeshi la Polisi.

    duuu mbona kama nuksi kwake?
  4. mashakaDaima

    mwenye kuuza laptop tuwasiliane

    kama kuna mtu mwenye kuuza laptop naomba tuwasiliane kwa sababu ninaihitaji kwa sasa. Nahitaji laptop isiyozidi laki 5 plz mwenye kuuza tuwasiliane 0684036259
  5. mashakaDaima

    natafuta mwenye kuuza laptop

    kiukweli na wala sitanii kwa yeyote ambaye anauza laptop naomba tuwasiliane na anisaidie kuipata hiyo laptop,laptop iwe nzuri na yenye webcam. Kwa mawasiliano zaidi napatikana kwenye namba 0684036259
  6. mashakaDaima

    nani anatakiwa kusema asante

    Hiv baada ya sex ni nani ambaye anatakiwa kumshukuru mwenzake kwa tendo. Mi nadhani wote wanatakiwa kushukuru
  7. mashakaDaima

    Mi nadhani muungano uudumishwe na uimarishwe!

    katika maandalizi yaa uundwaji wa katiba mpya suala la kuwepo au kutokuwepo kwa muungano limekuwa ni jambo ambalo linaleta mijadala mbalimbali kwa wananchi na viongozi. Japo kuna mapungufu na changamoto mbalimbali kuuhusu muungano basi nia wakati sasa wa kufikiri ni namna gani ya kuuboresha...
  8. mashakaDaima

    Nampenda lakini hanitaki sijui nifanyaje

    Nimkusoma ndugu yangu ila tatizo sio jina sema tu kaamua kuwa hivyo so nitafuata sana ushauri wenu wapendwa
  9. mashakaDaima

    Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

    kweli kabisa hakujua analolitenda
  10. mashakaDaima

    Nampenda lakini hanitaki sijui nifanyaje

    Kiukweli kuna dada anatesa sana roho yangu na ninahisi kupoteza matumaini ya kuishi. Ni mara chache sana kwa mutu kutokukata kwa kitu anachokihitaji lakini kwangu mimi nahisi kukata tamaa kabisa kwani jitihada zangu zinaelekea kugonga mwamba kwani furaha ya moyo wangu inapotea kwa huyu dada...
  11. mashakaDaima

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Sual la mpaka wa ziwa nyasa kati ya Tanzania na Malawi sasa linaweza leta sura tofauti na lisipofuatiliwa mgogoro kati ya nchi hizi mbili waweza ibuka na kuleta mtafariku katika nchi zote. Hivyo ni jukumu la viongozi wetu kuhakikisha kuwa suala hilo linasuluhishwa kwa namna yoyote. Je ni kitu...
  12. mashakaDaima

    hivi hii milipuko na mauaji ya watu yataisha lini

    Hii inchi yetu inakoelekea sijui kabisa na serikali naona tu inazidi kulifumbia macho sijui ina mpango gani maana hawa viongozi wetu wa dini hasa wa kikristo wamekuwa sasa wanaishi kwa mashaka na bila amani so serikali inatakiwa kulifuatilia hili suala hili kwa umakini zaidi
  13. mashakaDaima

    Vodacom hii imekuwa kero

    hapo bro angu labda watajirekebisha harafu hizi kero tunazotoa sijui huwa hawazioni mi nashindwa kuelewa kabisa
  14. mashakaDaima

    Vodacom hii imekuwa kero

    Kwa kweli hata mimi mwenyewe natamani kuhama hii kampuni ila sema nitapoteza mawasiliano ya muhimu ila wajaribu kurekebisha hayo makosa.
  15. mashakaDaima

    Mwanaume akikosa mtoto hupata huzuni zaidi ya mwanamke

    Yaweza kuwa kweli hayo maoni yako
Back
Top Bottom