Recent content by mashaka sambo

  1. mashaka sambo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya mashine ya max malipo

    Naombeni mwenye kujua bei ya mashine ya max malipo anisaidie niijue, lakini pia nahitaji kujua Kama nikiinunua hiyo mashine itakuwa imeshaunganishwa na huduma mbalimbali Kama tigo pesa, Airtel money, malipo ya umeme, ving'amuzi na huduma nyingine, au napaswa kuunganisha mwenyewe?
  2. mashaka sambo

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    HIVI IPO DAWA YA KUTIBU PUMU NA KUPONA KABISA?
  3. mashaka sambo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa gari lako uko mashakani

    Bila shaka ni hiari, mwenye kuhitaji atanunua asiyehitaji ataendelea na mambo mengine
  4. mashaka sambo

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Gusa ufe
  5. mashaka sambo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Tunashukuru kwa mada nzuri!!
Back
Top Bottom