Recent content by mashaka sahani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    How do you know?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ladies: inawahusu

    Naitwa Mashaka,msukuma naishi mwanza,umri wangu ni miaka 26,nasoma nna pia nafanya kazi,mrefu wa wastani,mwili wa wastan.natafuta mchumba/mpenzi awe na sifa zifuatazo; -mwili wa wastani au mwembani ila asiwe mnene. -Mcha Mungu -awe tayari kuishi mwanza. -umri kati ya miaka 18-26 -asiwe amezaa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

  4. M

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA HISTORIA KWA KIZAZI KIJACHO (picha)

    kuna gari crane imekuja nadhani ni kuondoa hilo gari ili barabara iweze kupitika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kero M4C hadi kwenye mabasi ya abilia?

    ahsante sana kiongozi,kikubwa nilichogundua ushabiki ni janga la kitaifa,pia uvivu wa kufikiri umetawala miongoni mwa mashabiki hao.call a spade a spade and not a big spoon.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatisha, yaisambaratisha CCM huko Muleba (uchaguzi wa vijiji) - 2015 ni balaa

    ukweli unauma,kitaka kula na kipofu.......................malizia.tatizo u chadema na u ccm unawapoteza,muhimu mngeongelea masuala ya nchi kidogo mngeeleweka na nio ushabiki wa kijinga ki hivyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatisha, yaisambaratisha CCM huko Muleba (uchaguzi wa vijiji) - 2015 ni balaa

    kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji,time will tell kwani 2015 ni mbali,mtaishia kunawa,sishabikii siasa bt kwa styre hii mmechemsha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ni kero M4C hadi kwenye mabasi ya abilia?

    TAREHE 25/01/2012.Nikiwa katika basi la kampuni ya Bunda Express,nikitokea mwanza kuelekea Bukoba,sikufurahishwa sana na wafuasi wa CHADEMA,safari nzima ilikuwa ni kero tupu.kuna watu wanajiita makamanda wakageuza basi kuwa soko la kuuzia majezi ya chama chao M4C,Unajitahidi kusinzia usingizi...
Back
Top Bottom