Recent content by masg

  1. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili Madaktari hamtutendei haki wa-Tanzania

    Kafanye kazi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika hili Madaktari hamtutendei haki wa-Tanzania

    Kafanya kazi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    Lucy? na Poda? ndio wanasababisha mnatesa maelfu ya WATANZANIA. Mna roho za wanyama nyie. Hizi ni nyakati za mwisho watu watakuwa ni wenye kupenda pesa na upendo wa wengi utapoa-Mnatimiza unabii. Hata Wayahudi waliomuua Kristo walijiona wanahaki. Mungu awasamehe na awasaidie.
  4. M

    JamiiForums Tanzania HESLB (BODI) na EQUIVALENT

    Watapata tuu mkopo, majina yaliyotolewa na bodi ni ya kupitia TCU na siyo NACTE. Kuna mkanganyiko kati ya hizi taasisi mbili ila cha msingi ni kuwa utapata maake na sisi tumepitia huko huko lkn tumepata.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2010 CONFIRMED: CHADEMA yachukua jimbo la Meatu

    Dr opulukwa wa Chadema ambaye amewania ubunge jimbo la meatu kwa miaka mingi, hatimaye hivi punde ametagazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hili. Ameibuka kidedea baada ya kumbwaga ndg. JAMBO wa ccm ambaye ni mfanya biashara maarufu wa mjini shinyanga.
Back
Top Bottom