Recent content by masenu msuya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani wanakwepa ukweli kwa kujificha nyuma ya propaganda ya kuibiwa kura

    habari wanabodi,Napenda nirudie tena kauli yangu sijawahi kushuhudia upinzani wa hovyo duniani kama upinzani wa Tanzania.Upinzani wa Tanzania ni upinzani ambao hawapendi ukweli pili hawapendi kufikiria kwanini watanzania hawawakubali wamekosea wapi au wamejikwaa wapi hali inayopelekea kushindwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makamanda hali ngumu, wajiandaa kutembelea propaganda yao ya kuibiwa kura

    mkuu haya embu angalia makamanda wanavyopumulia gesi Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    ni kinyume cha sheria kitendo hicho kinachochea uvunjifu wa amani Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    mkuu mimi na ww nani member mpya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    mkuu cdm walaniwe kwa tukio la jana leo wamepata mtaji wa roho moja wanaoutumia kwenye maandamano
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    haki ni kukusanya wahuni na kuandamana kinyume cha sheria huku wakiendesha uporaji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    uvunjaji wowote wa sheria unasababisha machafuko tuheshimu sheria
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kinondoni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

    wao ndo wameanzisha vurugu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

    mkuu umeona kitendo walichokifanya cdm ni sahihi barua za viapo walitakiwa wafate kistarabu sio kwa maandamano
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

    chadema walaniwe kwa damu ya mwanafunzi mwenzangu iliyomwagika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

    mkuu mimi ni verified member
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni huu mchezo hili Taifa letu sote

    Habari wakuu,kilichotokea leo ni jambo la hovyo na kupigwa vikali.Kitendo cha chama cha siasa kuvunja sheria kwa maksudi ili kulijaribu jeshi la polisi wapate video za kuonyesha ni jambo la kupingwa vikali sana Chadema na Mbowe ameshachanga karata zake akagundua usanii na uhuni anaoufanya na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Makamanda hali ngumu, wajiandaa kutembelea propaganda yao ya kuibiwa kura

    mkuu upo dunia gani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makamanda hali ngumu, wajiandaa kutembelea propaganda yao ya kuibiwa kura

    Habari wakuu nimefatilia kwa karibu hali ya kisiasa na kampeni za majimbo ya siha na kinondoni kwa kifupi upinzani ule wa 2015 sijauona kabisa leo ninachoshuhudia ni uchovu mkubwa wa fikra na mawazo unaooneshwa na wanaojiita makamanda huku wagombea wao hawana utashi na uwezo mkubwa wa kuongelea...
Back
Top Bottom