Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

masenu msuya

Member
Dec 9, 2012
15
14
Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kinondoni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni wasiopenda sifa nzuri ya amani ambayo tunajivunia watanzania.

Dj na kikundi chake anatamani na kupenda kuona damu inamwagika ndio maana wanavunja sheria ili polisi wakisimamia utulivu kwa kutumia nguvu kidogo wapate cha kukichafulia nchi kimataifa.Tujiulize kwanini wao wasitapakae vituoni kulinda kura mpaka watake wananchi walinde kura watanzania wenzangu tushituke tuseme inatosha kutumiwa na wanasiasa uchwara ambao damu za watanzania wenzetu kama mtaji wao kisiasa inasikitisha sana.
 
Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kigamboni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni wasiopenda sifa nzuri ya amani ambayo tunajivunia watanzania.

Dj na kikundi chake anatamani na kupenda kuona damu inamwagika ndio maana wanavunja sheria ili polisi wakisimamia utulivu kwa kutumia nguvu kidogo wapate cha kukichafulia nchi kimataifa.Tujiulize kwanini wao wasitapakae vituoni kulinda kura mpaka watake wananchi walinde kura watanzania wenzangu tushituke tuseme inatosha kutumiwa na wanasiasa uchwara ambao damu za watanzania wenzetu kama mtaji wao kisiasa inasikitisha sana.
Anaye penda kuona damu za wa Tanzania zinamwagika ni Yule uchwara wa Magogoni anayekula kodi zetu
 
Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kinondoni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni wasiopenda sifa nzuri ya amani ambayo tunajivunia watanzania.

Dj na kikundi chake anatamani na kupenda kuona damu inamwagika ndio maana wanavunja sheria ili polisi wakisimamia utulivu kwa kutumia nguvu kidogo wapate cha kukichafulia nchi kimataifa.Tujiulize kwanini wao wasitapakae vituoni kulinda kura mpaka watake wananchi walinde kura watanzania wenzangu tushituke tuseme inatosha kutumiwa na wanasiasa uchwara ambao damu za watanzania wenzetu kama mtaji wao kisiasa inasikitisha sana.
DJ na m,,,a.....m,,,,a yako wanapenda nini sema?
 
Aliye shikilia viapo ni Dj au maagizo ya Magogoni?damu ya Yule binti asiye na hatia lazima iwaghalimu
 
Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kinondoni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni wasiopenda sifa nzuri ya amani ambayo tunajivunia watanzania.

Dj na kikundi chake anatamani na kupenda kuona damu inamwagika ndio maana wanavunja sheria ili polisi wakisimamia utulivu kwa kutumia nguvu kidogo wapate cha kukichafulia nchi kimataifa.Tujiulize kwanini wao wasitapakae vituoni kulinda kura mpaka watake wananchi walinde kura watanzania wenzangu tushituke tuseme inatosha kutumiwa na wanasiasa uchwara ambao damu za watanzania wenzetu kama mtaji wao kisiasa inasikitisha sana.
Polepole kesha kuharibu weee binti
 
ZUNGUMZIA HILO GENGE LA WAUAJI WA RAIA WASIO NA HATIA NA SIO KUWASHWA WASHWA NA VIONGOZI WAPENDA HAKI WA CHADEMA
 
Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kinondoni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni wasiopenda sifa nzuri ya amani ambayo tunajivunia watanzania.

Dj na kikundi chake anatamani na kupenda kuona damu inamwagika ndio maana wanavunja sheria ili polisi wakisimamia utulivu kwa kutumia nguvu kidogo wapate cha kukichafulia nchi kimataifa.Tujiulize kwanini wao wasitapakae vituoni kulinda kura mpaka watake wananchi walinde kura watanzania wenzangu tushituke tuseme inatosha kutumiwa na wanasiasa uchwara ambao damu za watanzania wenzetu kama mtaji wao kisiasa inasikitisha sana.

CCM mmeamka na faida ya roho moja mliyoitoa kwa mtutu wa bunduki jana jioni.

endeleeni kuua.
 
Back
Top Bottom