Recent content by Maseluko

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    Ni heri Raia mwema kuliko mawio na mwanahalisi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

    Mpigie kampeni Lowasa,achana na Zitto na ACT yake.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli muongo sana, kodi ya wafanyakazi P.A.YE ni 18%, na sio 11%, uongo huu

    Mwalimu ngazi ya mshahara TGTSD basic salary ni tshs 716000/=,makato yako hivi,P.A.Y.E(tax) 11%,pspf/lapf 5%,cwt 2%,NIHF 3%.usibishie vitu ambavyo huna uhakika.acheni uongo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli muongo sana, kodi ya wafanyakazi P.A.YE ni 18%, na sio 11%, uongo huu

    Mimi ni mwalimu P.A.Y.E yangu ni 11%.hivo mtoa maada naona umekurupuka bila kufanya utafiti.Tafuta mwalimu yeyote,au mtumishi wa umma uone salary slip yake ukokotoe utapata majibu.Acheni ushabiki enyi bavicha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kampeni hizi CCM mnajimaliza, kizazi kinafikiri kwanza halafu kinatoa maamuzi

    Mwenye uwezo wa kufikiri hachagui chama anachagua mtu.Kilichopo sasa 2015,watu wanachukia jina CCM ila hawachukii watu walioko CCM.Think metaphysically,energise your perfrontal.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

    Mtoa maada rudi kajipange,huijui chato.sisi tuliopo huku tunajua umhimu wa JPM kwa chato
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Kigoma

    Monduli hakuna nyumba za nyasi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Humphrey Polepole: CCM ilifanya maamuzi ya kiume, Majizi na hasa kubwa lao yakakatwa...

    Kwa mjibu wa viongozi na wafuasi wa cdm ,kama lowasa angekuwa fisadi basi angekuwa kashafungwa.na wanakwenda mbali zaidi na kusema aliye na ushaidi kuwa lowasa ni fisadi auweke hadharani au aende mahakamani.kwa sababu hizo,hata chenge,mhongo,ngereja,tibaijuka,rostam,karamagi n.k sio mafisadi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Marofa na wapumbavu ni ukawa sio watanzania wote.mkapa kakelwa na upumbavu wa sumaye na el
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kigoma mjini ngoma nzito: Zitto Vs Kabourou Vs Lumenyela

    Uongo wa kipumbavu kabisa.zungumza mengine Zitto ni image ya kigoma yote.hakuna cha kafulila wala mkosamali bila zitto.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    Ukweli unauma,mnachoogopa ni nini sasa?,mnataka ukweli upi?.kama hamna hoja kaeni kimya sio kumtusi mtu.pinga kwa hoja utaheshimika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Usitegemee kupewa sukari muda wote,wakati mwingine pokea hata pilipili .unataka usifiwe tu ,wewe ni nani?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    Mtaongea mengi na mtamtukana sana,lkn ukweli kwenye siasa za uwazi,uwajibikaji na uzalendo hakuna kama zzk inchi hii.kama unabisha kasome Jarida la Financial Times"25 africans to watch".kijana yuko vzr kisiasa ila tatizo wanacdm wengi hamtumii perfrontal lobe zenu vzr
  14. M

    JamiiForums Tanzania Si Lowassa tu: Idadi kubwa ya Watanzania ni wezi na mafisadi

    Hakuna fisadi wala mwizi Tanzania.rejea kauli za viongozi wa ukawa.mtu anathibitika kuwa ni fisadi na mahakama.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Walichofanya CHADEMA kwa ZITTO sasa kinajidhihirisha!

    Ukinywa maji(supu) ya bendera ,siku zote uongo kwako ni ukweli na ukweli kwako ni uongo.
Back
Top Bottom