Recent content by maselef

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wasukuma; Je unaweza kuoa Mmakonde?

    Sidhani ukabila siku hizi hi tatizo tena
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ludovick Joseph: Kilio cha usaliti - Sehemu ya pili

    Unasema, umejiunga UDSM 2007 na ulikuwa uko mstari wa mbele kuhakikisha CHADEMA au vijana wengi wanajounga na CHADEMA. Nimekuwa UDSM toka 2001 mpaka sasa. Naomba usidanganye watu mwamko wa vijana kujiunga na CHADEMA umekua kuanzia baada ya Uchaguzi wa 2010. Kwani wewe bila kuungaunga stori...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lwakatare vituko vitupu: Polisi wasaka maandiko yake ofisi za CHADEMA, Salva amtetea Michuzi

    UTATA wa UTATA unaendelea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tutachukua nchi kwa Ulaini bila Kuteka Mtu yeyote

    Kama mara nyingi anavyosema Karungendo ni "bora CCM kuelekeza nguvu nyingi katika ku-win mioyo ya watanzania (wapiga kura) kuliko kuelekeza bnguvu nyingi ku-ua au kufifisha wapinzani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Rwakatare katika clip anaonekana kuwa alikuwa anaandika karibu kila neno alilokuwa akilitamka. 1. Linganisha hiyo summary (in point form) na muda katika clip (coverage) 2. Kutuaminisha kuwa hicho ni ndo alichokuwa akiandika kwa muda wote katika clip (toka mwanzo wa clip mpaka inapoishia clip na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda John Mhozya tumaini jipya Kibaha

    I can bet this is the right candidate for the Kibaha Constituent. Forget about the "masalia virus" from Kibaha. John Muhozya he is my fellow lecturer at UDSM and a close friend of mine
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda John Mhozya tumaini jipya Kibaha

    Si Mwanasheria tu, ni Wakili na Mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule Kuu ya Sheria (Zamani Faculty of Law)
  8. M

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Niliwahi kusema hapa JF kuwa uandishi wa Shonza wa michango kwa kutumia akaunti ya TUNTEMEKE na matamko yake vinamfunga hata kama hujaangalia kilichoandikwa ndani. Hatumii herufi kubwa, pili hatenganishi kati ya neno na neno. Ushahidi huu tu unaweza kujua bila shaka katika threads mbalimbali...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Lema afunguka, asema bora afukuzwe kazi!

    Mi ninachojua askari hawaruhusiwi kuwa "wanachama cha siasa" na si "kushiriki katika kazi za siasa kama vile kuhudhuria mikutano ya siasa" nk
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kamati kuu mmecheza karata tatu vizuri, malizeni mchezo na hiyo ya nne...

    Coming with the same status the same people. The pattern is clear to identify who" is.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Msihangaike sana wanaJF we are dealing with Shonza coming out with different Ids. For me as Forensic specialist I can nakedly see her in the answers, the pattern is so clear
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akiri CHADEMA imeandaa mkakati wa kumpeleka Dr. Slaa ikulu 2015... Shame!!!

    The same I can still understand who wrote this. I can establish the pattern of who from the previous threads to this one
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Hivi ukigundua kuwa kila mtu unayekutana naye njiani ni kama "anakuona ndani umevaa kufuri lililochanika na chafu" unajisikiaje? The Tuntemeke, Mchange, Shonza etc are they blind to a point cant see this naked truth?"
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    @ Taswira please, please, always at least try to win peoples trust but not forcing people to believe your baselessness". Ni Njaa tu inawasumbua. Kuishi wa kudanganya kila siku na kuwajaza ujinga anayekupatia mkate wa kila siku (malipo ya utumwa) hakukusaidii
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

    Taswira unless yo believe in shortcuts which is always bound to failure. I know ZKK since were together at UDSM in the early 2000s. I always teach people (detectives) how to "investigate complex and inticate issues" of which the current fracas does not even qualify to be
Back
Top Bottom