Recent content by masele paul

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa harufu ya sigara kwenye gari

    Nunua ngozi ya ng'ombe uweke ndani ya gari utaenjoy
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

    Dar madalali matapeli wengi gari ambalo mwenyewe anauza 3M dalali analiuza 9M na gari ni bovu halilingani na thamani ya fedha. Mwanza madalali hawana tamaa kama Dar
  3. M

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester Vs Honda Crossroad

    Ulichukua ipi mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Unamwelewesha hataki kuelewa kwa sababu amesoma lakini hakuelimika. Gari tofauti na Toyota zinaendelea kuongezeka lakini wanaturusisha nyuma watu kama hawa vijana wadogo wenye mawazo ya miaka ya 1877
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spare parts za Honda Crossroad

    Ulichukua gari gani Boss
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kodi za kuagiza gari used na mpya

    Haujui kitu ndugu yangu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Spare parts za Honda Crossroad

    Ulinunua gari gani Boss
  8. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Mitsubishi OUTLANDER ya mwaka 2008, seat 7, 4WD nitaipata kwa bei gani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kama unahitaji gari zuri usiache kupitia huu uzi

    Ninayo 15M mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa uzuri wa hii Noah new shape

    Tatizo lake ni nini? Mtujuze ili tuwe na uelewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    M 5 chukua hiyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Sijajua kama Mhe analifikiria hili jambo sawa sawa. Kwani Wapo watu tunaishi nao wameshatumbukia kwenye umaskini kwa kusomesha watoto wao private, nia ya wazazi hawa haikuwa mbaya lakini sasa uchumi wao imeyumba ukisema hauwapi mkopo sababu tu walisoma private unawanyima haki hao watoto. Suala...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ruth Mollel, utumishi wa umma Mei 2, 2018

    Ni wazi kuwa tunadanganywa kila kukicha. Waliahidi tukimaliza uhakiki tutaongeza mishahara. Sasa wameahidi tena. Hii ni serikali ya ahadi tu. Serikali ya kuomba kuaminiwa tu. Haya bhana tuendelee kumwamini.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge CCM wahoji mishahara itapanda lini ili kuwakwamua wananchi kiuchumi

    Huna lolote. Mtaelewa tu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Wewe ni mnafiki mkubwa. Serikali zingine Zilikuwa zinawaongeza watumishi mishahara Zilikuwa hazifanyi maendeleo? Ninyi ndo mnaompotosha Rais
Back
Top Bottom