Sasa kwa mfano mimi nipo Mwanza. Tripu ya mawe ya 4 cub ni kuanzia 50,000 hadi 65,000 kulingana na site ilipo. Naanzaje sasa kutumia msingi wa tofali sasa!!?. Kwanza gharama ya msingi wa tofali ni kubwa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwalimu Idara ya msingi katika Halmashauri ya wilaya ya MWANGA-KILIMANJARO.Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wilaya za:
MVOMERO,
KILOSA,
PWANI,
KISARAWE
KIBAHA na
MKURANGA.
CONT: 0786837718 na 0765731947
Mwalimu Idara ya MSINGI yupo wilaya ya ROMBO-KILIMANJARO.Anatafuta wa kubadilishana naye kutoka halmashauri yoyote DAR.
AU wilaya yoyote katika mkoa wa PWANI isipokuwa wilaya ya MAFIA.
Cont: 0755 449672
Jamaa yupo LUDEWA-NJOMBE.Anatafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka wila ya MBOZI-idara ya Secondari.
Bakshishi ya TSHS:300,000/= itatolewa kwa atakayekuwa tayari.
Cont:0762 680654
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.