Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar.
Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo;
Umri: 22-30
Elimu : yoyote
Rangi : yoyote
Location: :Dar
Asiwe mwanafunzi wa chuo.
Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
1_kunywa kahawa
2_kuvaa macheni shingoni
3_kucheza kamari
4_kuwa na marafiki wengi
5_kutongoza mademu wa kukutana nae mara moja tu ushamzoea na kumtongoza
hizo tabiwa nimeshindwa kabisa
kwanini awe jasiri hivi
kwani haoni kama we ndo pumziko lake ?
yaani broo mkeo anakuita msumbufu ?
ina maana haoni unavyotoka unatoka kwa ajili ya kumtafutia ?
all in all kuna raha furani hivi kuona umerudi usiku nyumbani kwako unagonga mlango then mke ndo anakuja kukufungulia huku...
mwezi ulopita nilikuwa mkoani Iringa , nilipita maeneo mengi ya mjini na baadhi ya vijiji wilayani kilolo nikaanza kushawishika kuishi huko kutokana na mandhari na fursa tofauti tofauti zilizopo , kwanza kabisa ukifika maeneo ya iringa mjini utaona kuwa kuna hakuna wafanya...
hata kama ukiweka sheria ya kipengele hiki itakuwa unajitekenya tu ...................imagine unakuta mtu kashajiua tayari halafu unamfungulia kesi mahakamani ! unamshitaki maiti?, hata kama ikiwekewa hukumu utaihukumu maiti?
hata kama ukiweka sheria ya kipengele hiki itakuwa unajitekenya tu ...................imagine unakuta mtu kashajiua tayari halafu unamfungulia kesi mahakamani ! unamshitaki maiti?, hata kama ikiwekewa hukumu utaihukumu maiti?
ukiachilia mbali huko tiktok pia jamaa amekuwa maarufu na watu wanatumia umaarufu wake kwa kutangazia biashara zao ,hii inamfanya jamaa apate mkwanja pia
Ni moja kati ya mitaa ya kiswazi sana hapa temeke,nyumba nyingi za mtaa huo ni zile za miaka ya 70s,mitaa miwili baada ya mtaa huo ndo kuna mtaa maarurfu wa wauza utelezi,kukabwa ni jambo la kawaida sana ,mitaa ya jirani na mtaa huo ni MTONGANI,MAPUTO,DOUBLE KIBINI,CHAMPION na SOWETO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.