Recent content by Masasu

  1. Masasu

    JamiiForums Tanzania Wapinzani mbona mmekuwa kimya? Tupatieni taswira ya kisiasa kwa sasa ikoje?

    Unahangaika na nini wewe? Upinzani ulishakufa. Kuweni na amani zote. Hakuna mapungufu yoyote. Upinzani ndo ulikuwa unaleta mapungufu
  2. Masasu

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

    Hayo madini yalitoroshwa na serikali ya CHADEMA?
  3. Masasu

    JamiiForums Tanzania Utawala huu wa Magufuli: Shilole aomba ateuliwe kuwa DC

    Mkuuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂 utaniua mbavu. Cheupe dawa
  4. Masasu

    JamiiForums Tanzania Double Standards: Waliokosea kuapa walikuwa wawili lakini mkosaji akawa mmoja

    😃😃😃😃😃😃😃😃 Ah watanzania mna maneno nyie"' duh nimecheka sana. Vipi ni weupe upi unaoweza kukuokoa hata ukikosea kuapa? Wa asili au hata huu wa dukani? Nipo na dadangu mweupe peeeee anazagaa zagaa tu hapa. 😁😁😁😁😁😁😁😁
  5. Masasu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Nimekuelewa sana mkuu. Ifike mahali pamoja na tofauti ya itikadi zetu, bado tubakize roho ya kibinadamu. Niliumia sana.
  6. Masasu

    JamiiForums Tanzania Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

    Tusameheane mkuu wangu. Sitarudia tena japo ukiwaangalia utagundua kuwa nilichoongea ni kweli kabisa. Any way acha nipalilie strawberry zangu nijiingizie chochote kitu kwa ajili ya familia yangu
  7. Masasu

    JamiiForums Tanzania Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

    Nimecheka sana, ukimuangalia Mdee kwa sasa kashazeeka ghafla. Huko CCM sijui kuna nini maana hata SLOW SLOW alizeeka ghafla mara tu alipopokea uteuzi.
  8. Masasu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafuasi wa CHADEMA wanaumia na uamuzi wa ACT-Wazalendo kujiunga na SUK Zanzibar?

    Swali konkiii. Hawezi kukujibu kwa vile hata yeye hajui sababu ya furaha yake
  9. Masasu

    JamiiForums Tanzania Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

    Pascal mayala anaendelea kukomaa akitumia kale kamsemo kanakosema "MTAFUTAJI HACHOKI" 😆😆😆😆😆😆
  10. Masasu

    JamiiForums Tanzania Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

    Tundu lisu kazuiaje misaada wakati sisi ni matajiri na ni donor country?
  11. Masasu

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba na ulimbukeni wa kisiasa

    Na hiyo kampuni inayositisha uchapishaji wa magazeti yake tumeishawishi sisi? Hayo mahotel makubwa yanayofungwa tumeyashawishi sisi? Mtu anapokaribia kufa humlaumu kila anayekatisha mbele yake akidhani ndiye sababu ya kifo chake
  12. Masasu

    JamiiForums Tanzania Yule Tundu Lissu aliyekuwa anaandikwa kila kurasa yuko wapi?

    Mbona umejisumbua sana kumpa somo pana wakati hata hajui wajibu wa serikali kwa wananchi wake? Mtu anayeulizia aliko Lisu leo unadhani atelewa habari za Dangote kufunga kiwanda? Anyway umewaelimisha wenzake wenye uelewa kidogo. Ila kwa mtoa mada sidhani kama amekuelewa hata chembe.
  13. Masasu

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    Una elimu gani wewe? Tuanzie hapo kwanza. Kama umeshindwa kumuelewa askofu kwa maelezo mepesi hivi, nina shaka na uwezo wa kichwa chako.
  14. Masasu

    JamiiForums Tanzania Je, Halima Mdee na wenzake 18 wakisamehewa na chama chao, watakubali kupoteza Ubunge wao wa Viti Maalum?

    Ndio serikali hatuitambui ndio maana hatujapeleka majina ya viti maalumu. Tunashangaa mnavyowang'ang'ania akina halima.
Back
Top Bottom