Recent content by Masarafu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: June 19, 2012

    Mrema safi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Malipo TRA

    Sio source of monthy income. Just allowance....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    Walisema wanataka upper second. Sio kazi yao ya ku specify upper second ya aina gani.... Upper second ya 3.9 haina jina maalum... Furthermore, application zilikuwa nyingi sana. Wangeanza 3,5 ingebidi watoe aptitude test za watu 1,500. Not cost effective when looking for 40 people
  4. M

    JamiiForums Tanzania Malipo TRA

    Same difference...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    3.9 mkuu....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    Msiwe wavivu wa kufikiria... Wakisha shortlist kwa GPA then wanatoa aptitude test. Hyo inachuja wote walionunua hizo GPA. Kuna waliopata 14% kwenye aptitude simpo tu, pamoja nakua na GPA ya 4.3. Isitoshe then wanakupiga oral interview. If ulifika pale kwa ngon* definitely u won't make...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    Hapa naona hoja hamna. Swali.... Application za kazi 40 zinakuja 12,000. Unatumie vigezo gani kuchuja wafike watu 300 ili wawe interviewed. Huko utumishi na watawachuja vipi? Riddle me that...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    Mi naongea from experience za customs jobs recently. Tulifika pale mtu 300, wote wamechujwa kwa GPA. Then tukafanya aptitude test. Wakapanga from matokeo yake, waliofeli wakaachwa. What do u want from them? Mi nimepata kazi huko fair and square, bila refa wala nini. Just my GPA, aptitude...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    Sasa mnataka watumie vigezo gani? Uchaga? Au uislamu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Malipo TRA

    Mshahara wenyewe 800,000/- allowance ndogo sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tra ihamishiwe utumishi

    tRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yusufu Makamba arudishwe kuja kuokoa jahazi la CCM

    January ndo account yako ya JF hii?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Malipo TRA

    Hehe nice one. Huyu jamaa hapo juu mpotoshaji. Kuna sehemu shavu kuliko TRA?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Training ya customs officers tra

    Kuna mpka wenye degree za education. Wengine wa CBE wanapewa tu ma GPA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Training ya customs officers tra

    GPA ya 3.9 and better only...
Back
Top Bottom