Sasa kama ukweli unaujua juu ya madeni hayo ya kubumba na kiakili ndogo simyatoe,
Ukitaka usiulizwe kasimamie mali za mke wako na wanao!
Mliingia madarakani na ushamba wa kijijini
Leo mnegeuza ofisi machinjio aibu yetu.
Masuala haya ya fikra huru na falsafa ni masuala ya kielimu na utambuzi.
Suala la uwepo au kutokuwepo kwa mungu si vema likajadiliwa kiimani.
Ni suala la sayansi ya kuwaza (scientifical thoughts)
Baba wa fikra huru za kutoamini uwepo wa mungu,
Hegelians, Wafasi wake wakiwemo kina Late...
Hofu kwa wenye uelewa finye kama nyinyi.
Magu na vizabizabina anaowateuwa wanatulazimisha tutumie akili nusu
Mbaya zaidi wasioelewa wanaojiamini kuwa wako sasa.
Wamezungukwa na wasaka tonge
Wakati utasema ila tutaumia sana
Kuna hoja za kujibu na muhimu ajibu.
Ila pongezi kwa kujibu maswali unawajibika invyostahili.
Ila kama historia yako ni mbaya kielimu hutaibadilisha iwe nzuri kwakuandika sana.
Majibu yako mkuu yanaongeza maswali.
Mimi kwa mtazamo wangu, tukushukuru kwa kutupatia muda wako adhimu kuongea na wewe.
Walimu acheni kujiona miungu watu myafanyayo bila kufuata taratibu zenu za kazi ni mengi sana, huu na uwe mfano kwenu.
Mwalimu aliyerekodi ni shujaa wa taifa.
Huyu ni MTU wa pekee kwa mwaka.
Mengi sana wamefanyiwa watoto wetu ikiwemo kuwapa mimba wanafunzi wao na ila hakuna anayethubutu kusema...
Lakuvunda halina ubani,
Mkuu wa nchi diplomasia ziro.
Mfundisheni sio kumpamba pale anapoharibu.
Huyu jamaa tutasikia mengi ni shida.
Hotuba zake ukiisukiliza unatamani ufutshe watoto shule.
CCM bwana Yani siasa yenu sasa ni lipumba.
Matahira wa ajabu.
Hivi naye huyu chizi lipumba anaona yuko sahihi sahihi kwa kshabikiwa na adui yako kisiasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.