pole mama angu, umefikia wapi sasa?
Kumbe ni rahisi kumzingua kama una kila kitu tatizo nini? mpe ukweli asikudhalilishe huyo mwambie hupendi ujinga kabisa na kwamba upo kikazi zaidi
wewe ndo hujui nchi inakokwenda na ndio maana huoni rais anakoipeleka nchi na hayo ndio matunda ya kusoma darasa la kwanza hadi chuo kikuu maporin tembea uelimike usikalie kujambia viti vya waajiri wako na mabwana zako wanaokutuma kumtukana rais
sio lazima sana, kama ni wakala wake mfikishie taarifa naona umependezwa na matusi ya lema kwa wala vichwa ywa kuku. hapa herufi haimati cha msingi ni taarifa tu.
kwani wingi wa kura wa wanywa viroba na watafuna mirungi ukizidi zile za waungwana darasa la saba na la tano na mnywa viroba mwenzenu si anapita kirahisi tu?
lema tafadhali sana jiheshimu kama umeshindwa kuzungumzia matatizo yanayotokea kwenye chama chenu ni uende chooni ukatupie tu. kama huna hoja za kuwajibu mahasimu wenu ccm basi nenda kawe kwa halima mdee ukawe house boy pale nyumbani kwake. wewe unaona kula miguu ya kuku ni laana je...
waruhusu na bange pia, maana wao huwa wanasaka kura za waharifu kama walivyofanya mwanza. ushawahi kuona kituo cha watu 500 wanapiga kura watu 80 ndo maana ilikua rahisi kwao kushinda. ukitaka kuamini hili ni kwamba wenje katangaza kwenda kugombea rolya keshaona 2015 upepo hausomeki.
walimwambia hivyo maximo na laana imeiangukia taifa stars haifurukuti itakua kikwete? hapo ulivyo biased ndo unaonyesha ukomo wa fikra zako. mara nyingi matusi na ngumi vinaonyesha ukomo wa kufikiri mazee
Mimi sioni tatizo hapa. Raisi sawa ni wa jamhuri ya muungano, anateua wabunge wanaotokana na ccm, wanapofanya vibaya na cham pia kinaathirika kwa namna moja au nyingine. kwa hiyo ni kitu cha kwaida cham chochote si tu ccm kuijadiri na kuipa maoni serikali ambayo ikiyaona yana manufaa kwa umma...
sasa ukitaka kupigwa na laana lete huo ushamba na usharobaro wako, kwani hao wasomi hawakuwepo zamani acha ubiafsi bhana. na huo u freemason unaouogopa si angeshakutoa kafara zamani tu wala asingeingia gharama kukusomesha kafara gani linataka msomi. hiyo akili ya kuzaliwa ndiyo imekusomesha na...
We kapige naye mzigo tu, kumbe ushachiti kabla tatizo nini? Isitoshe hivyo ni vidari poo vya kazini vinapunguza stress, ila ukizingua jamaa linaweza kukufaya si unajua kitaa kilivyo kigumu? Ila caution jamaa likikuchoka na wewe ukiolea na likitaka kujifichia siri litakufanyia fitina utoke hata...
nafunzi wa saut lazma mjitafari, mlikurupuka kushabikia chadema ona sasa mnavyotumka kama paka wa uchawi au condom? Mara zote wasomi wanatakiwa kua impartial ili kujilindia nafasi ya kusiufu au kukosoa pande zote. Sasa oneni mmefikia hatua wote mnaonekana vibaraka wa chama kimoja kitu ambacho ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.