Recent content by masalu2014

  1. masalu2014

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Of course hayo ni maswali mazuri! Ila yanabadilishaje kile alichosema akitoa na evidence? Tujikite na ukweli ama uwongo wa alichosema ili tupambane kwa logic!
  2. masalu2014

    Biochemist J.Watson na Bw.Lowassa!

    Jimmy watson hana imani iyo,ila alijenga hypothesis ambayo haiko proven kitu ambacho ni kawaida kwenye science.na sio watu wa afrika ila ni watu weusi,na akaenda mbali kuongeza kwamba tutakua tunajihusisha na ngono zaidi kutokana na pathway ya kutengezwa melanin pigments inavyohusiana na...
  3. masalu2014

    Vijana na utumwa wa siasa

    51% ya watanzania ni watoto i.e chini ya miaka 18.
  4. masalu2014

    Youngest Doctor In The World

    Isaac Newton hakuwahi feli shule,alikua mwanafunzi bora sana,alisoma masaa 18 kwa siku na siku 7 kwa wiki,japo enzi hizo waliandika kwa mkono na kusambaza kwa magari ya farasi yy alikuwa na collection ya vitabu zaidi ya 1000,aliachana na mambo yote ya jamii na akajikita na elimu(ndo maana alikua...
  5. masalu2014

    Nobel Prize medal for sale

    to be on the safe side i take Watson's comments about Africans as private,i see him as a racist like anyother racist. In Demons haunted world Carl Sagan teaches us that the personal life of a scientist has nothing to do with his/her scientific work;Einstein not being a better husband has nothing...
  6. masalu2014

    Muhimbili wadaiwa bilioni 8, washindwa kutoa huduma ya kipimo cha figo!

    na hiyo b.8 ni wanayodaiwa na bohari kuu ya dawa pekee,wana madeni ya maji na umeme pia.wameshindwa hata kumudu mavazi ya theatre na juzi wamewalazimisha wanafunzi wa MUHAS kuchangia mavazi hayo kwa mara ya kwanza😔
Back
Top Bottom